Mimi hapa ni kila kitu huniwezi mimi georgeallen nipe tarehe yako ya kuzaliwa na mwezi wako nikupe future ya maisha yako.[/QUOTE
Mimi tarehe na mwezi ni 5.7, tiririka juu y future yangu.
Mimi tarehe na mwezi ni 5.7, tiririka juu y future yangu.Mimi hapa ni kila kitu huniwezi mimi georgeallen nipe tarehe yako ya kuzaliwa na mwezi wako nikupe future ya maisha yako.
Mkuu Dogo TunduMimi tarehe na mwezi ni 5.7, tiririka juu y future yangu.
MziziMkavu, mimi tarehe yangu ni 31 Machi naomba unitumie PM ya maisha yangu ya baadae
Nimezaliwa tarehe 05 feb.naomba nijulishe future yangu.
MziziMkavu, we ni mkali mie ni namba 1 na my wife ni namba 4 na maelezo yahusuyo mchanganuo huo ni ukweli mtupu! Kusema kweli umeniogofya kwani huwa siamini kabisa katika elimu hii na Hasa ya nyota! Dahhh!Mmh could be true ...
Wewe Nyota yako ni ya Punda...
So future yako utakuwa Kuli.
Shimoni Kariakoo panakuhusu.
MziziMkavu mie tar 9 mwezi wa 6 inakuwaje hiyo future!??
| [TABLE="class: ecxyiv647238638contentpaneopen"] [TR] [TD="colspan: 2"] NYOTA YA MAPACHA (GEMINI)
KIPAJI CHA MAPACHA: (TELEPATHIC): Wenye nyota hii wana kipaji kikubwa cha kuwasiliana na watu ambao wako mbali kwa kutumia akili zao au hisia walizokuwa nazo. TABIA ZA MAPACHA: Watu wenye nyota hii ni watu wenye hisia kali sana ambao wanakasirika upesi, ni watu wasiotulia na wenye uwezo mkubwa wa kujieleza na kuzungumza na wanaweza sana kushawishi watu. Ni watu ambao wanapenda sana mabadiliko na tofauti na wanapenda sana kujua mambo, wanapenda watu na wanapenda kujumuika na watu lakini wakati mwingine hawaeleweki. Wanapenda kusafiri sana. TABIA YA MAPACHA KATIKA MAPENZI: Watu wenye nyota ya Mapacha wanajulikana sana kwa hadhi yao ya kuwa na sura mbili. Kuna wakati wanakuwa na hisia tofauti na muda si muda wamebadilika. Pamoja na kwamba hawapendi kubanwa sana , ni watu wachamgamfu na wenye mahaba mazuri. Ni watu wenye asili ya mawasiliano na ni vigumu sana kuwafanya wajinga hivyo basi wakishampenda mtu wanahakikisha kwamba hawamchoshi huyo mpenzi. Watatumia muda mrefu kuzungumza maneno mazuri na wapenzi wao ili kuhakikisha kuwa uhusiano unazidi kuwepo. Katika mapenzi, wao wanapenda vitu tofauti tofauti na wanahisi wamechoshwa basi huwa wa kwanza kuondoka aidha kwa muda au moja kwa moja. Uaminifu ni kitu kigumu kwa watu wenye nyota hii na wanahisi kwamba kuna kitu wanakikosa nje hivyo basi wanatoka sana nje hata kama wakiwa wana ndoa yenye furaha. Wengi wao wanafikia hatua ya kuishi maisha ya sehemu mbili; mke na bwana au bwana na mke. {mospagebreak} MATATIZO YA KIAFYA: Nyota hii inatawala mabega, mikono, viganja na sehemu ya juu ya mbavu. Tatizo la kutopumzika kwa sababu ya kutafuta mambo mapya ndio yanayosababisha maradhi kwa wenye nyota hii. Wanafikia mpaka hali ya kuisahau miili yao na mara nyingi wanapata matatizo ya neva kutokana na uchovu kwa mishughuliko mingi. Matatizo yanayotokana na nyota hii ni mgonjwa kukosa pumzi (bronchitis), pumu (asthma), matatizo ya kifua, mafua, flu, ajali za mara kwa mara kwenye mikono na mabega. KAZI ZA WENYE NYOTA YA MAPACHA: Kwa vile wenye nyota hii asili yao ni upepo na wao ni wenye kuzaliwa kwenye mawasiliano na uhusiano, wanapenda sana uhuru na uwazi katika kazi zao. Wanapenda sana kazi ambazo zinawashughulisha na kufanya akili zao zisipumzike lakini siyo jambo hilo hilo kwa muda mrefu. Kuwa na mawasiliano na watu wengi kwa wakati mmoja ndio jambo linalopendwa na wenye nyota hii. Kazi zao hasa ni zile zinazohusiana na mambo ya utangazaji wa radio na televisheni. Kazi ambazo zinahusika na mambo ya vitabu au uchapishaji vitabu. Kazi za kufundisha na kazi za ushauri nasaha. Vilevile wenye nyota hii wanatakiwa wafanye kazi za ukalimani au kazi za biashara lakini zinazohusiana na safari za nje. FAMILIA ZA MAPACHA: Watu wa nyota ya Mapacha ni waliochangamka na wenye hiari na wazazi wa Mapacha huingia katika msisimko wa watoto wao kwa raha. Ni wazazi wenye furaha muda wote katika kutekeleza shughuli zao za nyumbani pamoja na kupenda kucheza na watoto wao na wana mipango mizuri na wanajua wapi wakiwapeleka watoto watafurahi. wenye nyota hii wanathamini sana elimu na hawawezi kuishi bila mawasiliano na habari, hivyo huwa wanapenda kuwanunulia watoto wao vitabu vingi. Tatizo linalotokea iwapo mtoto ataonyesha kwamba hapendi kusoma na watajaribu kila njia kumuweka katika njia wanayoitaka wao. Wakishindwa wanaacha. Wazazi wa Mapacha hawawezi kuelezea jambo na hawana uvumilivu wa kun'gan'gania kwa mtoto asiyeelewa mambo. MADINI YA MAPACHA: Wenye nyota ya Mapacha wanatakiwa wavae madini ya Agata au kito chochote chenye rangi ya njano. Kito hicho inasemekana kinamuwezesha mvaaji awe na uwezo wa mawasiliano na ufahamu. UHUSIANO WA KIMAPENZI: (MAPACHA NA MSHALE) Tabia ya Mapacha ya kupenda kufahamu na kuelewa mambo hutulizwa na tabia ya Mshale ambao ni wasomi na wenye kuelewa mambo mengi. VYAKULA VYA MAPACHA: Wenye nyota hii wanashauriwa wapende kula vyakula vifuatavyo ambavyo ndio vinavyotawaliwa na nyota yao. Vyakula vyenyewe ni kuku, rasiberi, karoti na uduvi. NCHI ZA MAPACHA: Ili kupata mafanikio ya kinyota wenye nyota hii wanashauriwa watembelee au waishi katika nchi au miji ifuatayo inayotawaliwa na nyota yao. Nchi hizo ni Ubelgiji na Wales, na baadhi ya miji ni London (Uingereza) na San Fransisco (Marekani). RANGI ZA MAPACHA: Wenye nyota hii wanashauriwa kinyota wapake au watumie rangi za njano au bluu isiyoiva ambayo inapendeza ikipakwa ndani ya nyumba. |
mimi namba 3 nadate na namba 8=of course is not either best or good match
mmmh!