Stori za babu wa kizungu

Stori za babu wa kizungu

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,683
Reaction score
14,066
Ati kwamba kulikuwa na dunia nyingine ambayo ilikuwa sambamba na dunia yetu hii,,,,


zamani hizo dunia yetu ilikuwa na wale mijusi wakubwa na sisi tulikuwa katika hiyo dunia nyingine

Pia namna ya usafiri kwa njia za anga ulikuwa ni kutumia aina ya ndege hai wakubwa kuvuka toka dunia hii mpaka dunia ile nyingine.

Aidha dunia ile nyingine ilikuwa inaonekana kwa macho haikuwa mbali sana.

Kwa hiyo sisi tulikuwa tunakuja huku duniani na kurudi ile dunia nyingine siku hiyo hiyo.

Mijusi ile mikubwa ndiyo tuliitumia kujengea piramidi.

Naendelea kumchukua maelezo nitamrudieni
 
Babu ana point..asikilizwe
Anaongelea. Reptilians,Portals na Dinosars
Agusie Aliens na Humanoid Aliens hasa wanaoishi kwenye T Garden Planets...

Babu asikilizwe...
 
Back
Top Bottom