Stori Yangu...!

Jay wa Jay

Member
Feb 4, 2013
71
64
Mtoto: Kwa nini umenunua nyumba kubwa hivi?
Dingi: Pesa ni zangu, nazifanyia vile nitakavyo.

Siku iliyofuata dingi akamnunulia mtoto mdoli (mwanasesere)... Haikuchukua muda dogo akauchomoa mkono wa mdoli.

Dingi: Kwa nini umeuchomoa mkono?
Mtoto: Mdoli ni wangu, naufanya vile nitakavyo.

Siku iliyofuatia, mtoto akachomoa mkono mwingine wa mdoli.

Dingi: Kwa nini umeuchomoa mkono tena?
Mtoto: Nishakwambia mdoli ni wangu, naufanya vile nitakavyo.

Siku iliyofuatia tena, mtoto akachomoa tena mkono mwingine.

Dingi: Kwa nini umeuchomoa mkono mwingine tena?
Mtoto: Achana na mimi, mdoli ni wangu, naufanya vile nitakavyo.

Siku iliyofuatia tena, mtoto akachomoa mkono mwingine...

Najua mpaka sasa unajiuliza mdoli ulikuwa na mikono mingapi...

Ila stori ni yangu na naiandika vile nitakavyo.
 
duh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom