holy holm
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 4,792
- 9,087
Kilicho tokea leo...
Kuna jirani yaani anaumwa sana sasa akaomba aitiwe mganga wa kienyeji..mganga kaja na kumwambia kuwa hawezi kupona ugonjwa wake labda tu huo ugonjwa wa uhamishe kwa mtu mwingine.
Jirani kakubali... Sasa huyo mganga akampa masharti kuwa mtu yoyote atakaye ingia tu kwa kupitia huo mlango wake basi aseme [HASHTAG]#retcha[/HASHTAG]...na hapo huo ugonjwa utakuwa umemwingia huyo mtu aliyeingia..
Baada ya kumaliza uganga wake yule Mganga aliondoka...ila akakumbuka kuwa hajalipwa pesa yake,ikabidi arudi kuichukua.
Alipofika tu mlangoni yule mgonjwa akasikia kama mtu anaingia..basi akasema kwa nguvu [HASHTAG]#retcha[/HASHTAG]......yule Mganga akaipingua kwa kusema [HASHTAG]#reretcha[/HASHTAG]..yule mgonjwa akasema [HASHTAG]#rereretcha[/HASHTAG]... Mganga akajibu [HASHTAG]#rerereretcha[/HASHTAG]..mgonjwa akajibu rererereretcha... Mganga akajibu naye [HASHTAG]#rerererereretcha[/HASHTAG]... Yani mpaka sasa hivi hayo majibizano yanaendelea mganga amechoka jasho linamtoka na tunguli lake halifanyi kazi.... Jamani njooni mumsaidie Mganga..