stori hii ni ya kufikirika

jimmy jimble

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
216
216
sifa za wanawake wajf kwa nilivoambiwa,kuskia,na kuona

1.wengi hawana kazi,taaluma,ni mahousegal,washinda vibarazan uswahili,kazi umbea,majungu na fitna
2.humu wanaojiuza wapo ila wanajifanya mawife material kwa kudeka,wasagaji wapo,majikeshupa,matomboy,wengine wanajifanya wanaume
3.wengi ni wabaya wanatumia picha ya sura za mitandaoni,hawajui kuoga,kupaka make up,kusaka hela wao ni tegemezi tu,kitandani ni ziro na wala hawajui kuosha k zao.
4.wanahasira na visirani,wengi wanatumia itel na tecno,
5.wanaojifanya high class ni low class
6.ukienda pm husumbuki unapewa had 4nsex wengi ni kina mange kimambi type
7.ni mambumbu na hawana uelewa utawakuta majukwaa ya mapenzi tu kuwakuta kwa siasa,it nk wachache mno
8.wanapenda 0713 ila wanajidai hawapend,niombaomba wahela
9.midomoyaoni michafu kama mabwana zao na wanapotoka.wenye mabwana humu wengi wanadanganywa tu
10.ni wazalendo wajf,ni wakarimu sana,warembo,wanajua mapenzi,watamu,wanabusara,wanaakili,hawadanganyiki kirahs,wanajua kupika.......nakuanzia 1 mpaka 9 hayo ni uongo mtupu.tunawapenda sana warembo wetu
 
Dah,nimecheka mpk machozi. Kwamba moja hadi Tisa ni uongo hahahaha. Maana nilikuwa nataka nikupe kichambo cha hatari.
 
1-9 hizo ni nondo kwa wanawake wenye kujishaua humu JF.
Wengi wenye tabia ya kujidai huku wakitaka kujiaminisha kuwa wanajiamini wengi wao ni kwangu pakavu.

Ulichokifanya ni uoga kwani umeongea ukweli kwa baadhi ya hoja zako lakini mwishoni umejipinga mwenyewe.

Kuwa sirias kwa kila ulisemalo, ulifikirialo na ulifanyalo na hiyo ndio tabia ya kiume.
 
Siku nyingine ujue hata maana ya stori. Sijui huko shule mnaendaga kufanya nini Kama mtu hii nayo anaiita stori hili ni janga.

Rudi shule mkuu sio uje kutoa maelezo yasiyo na kichwa wala miguu.

Unawazungumzia wanawake wa JF ambao bila shaka hauwafikii hata robo ya akili zao.
 
Back
Top Bottom