Stori baada ya prepo

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,700
9,778
Habari zenu wanajukwaa la Chit Chats na Utani!

Natumai kuwa 90% ya members wa JF mmewahi soma shule za boarding hasa hasa Advance!

Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya kupiga story za kianafunzi tulizokuwa tunadanganyana muda ule tulipokuwa tunarejea mabwenini kulala baada ya uchovu mkali tulioupata kwenye usingizi wa prepo tukiwa tumeinamia Chand 1 ya Phys na BS bila kusahau kijitabu cha Ngaiza cha General Chemistry

Naomba sote turudi utoto, tupashane stories hata kama ni gahawa, kikubwa ziwe kianafunzi zaidi, story za chai kuhusu kuchakata mbususu ni sawa! Tusapotiane kwa hili wakuu!

Muda wa kutoka Prepo ni saa 4 kamili usiku
late-night-study-4128799.jpg
 
We nawe huna hata demu wa kuchart nae apo kwenye simu yako...? Naona mada zako sometimes chenga sana hivi unamfahamu beira baby boy...?

Mkuu, mademu ukichat nao ni kama wanapoteza muda tu, maake ni wanafiki kichizi, ni bora hata mtu nikanunua kipotabo i.e kipochi manyoya cha 6k nikakipiga tako nane nikarejea nyumbani!
 
Wadau twendeni prepo, tukutane bwenini saa nne kwa ajili ya story!


Kuna watu watakuja kusema nimekosa kazi!

Au ngoja niuache huu uzi, najua utavuma tena miaka 20 ijayo! kwani jamii forums usiku wa manane ulianza vipi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom