stop this, you are grown up now.....

ila thio vidhuri hivyo..!
yaani umesubiri shem alale ukampiga picha uje kumuudha JF..?
 
si ndio anajifunza?
Nalog off

'tayari ameshajifunza bwana hapo anakumbukia tu bwana.................wee kubwa zima lote hilo ndo lijifunze saa hizi,huyo tayari kabisa asee hapo anajikumbusha tu mkuu'
 
Ukubwani..huyo haachi labda akishajifungua..from real life experience!!!
 
Sijaona hata mmoja aliyefikiria kama ninavyofikiri....

Natamani sana hii picha ingetuonesha zaidi ya tuonavyo...

Kila mwanamke ana namna yake yake ya kufurahia pipi ya kijiti...
 
Kidole hicho ni kitamu jameni, we acha tu, ukikianza tu mpaka na kausingizi kanakupitia kwa raha zako
 
'tayari ameshajifunza bwana hapo anakumbukia tu bwana.................wee kubwa zima lote hilo ndo lijifunze saa hizi,huyo tayari kabisa asee hapo anajikumbusha tu mkuu'
kumbe ndivyo ilivyo?mie nikajua ndio anauanza huu mchezo.
Nalog off
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…