miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,409
- 11,086
Goodmorning.Hahahahaha!! Sasa mbona unaniwish good night wakati ndio kwanza tumeanza foreplay tena! I never said its not my responsibility to take care of your broke ass, the issue on the table is are you mentally aware its just a favor to do so? Msitake kutuendesha kama magari ya mkaa.
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23] ewaaah. Ni dunia yanifanya nichachuke hiviNdio maana wanakuita Pablo.
Hata tukisema wanawake ombaomba wote waache kutoa mbususu na wahamie kwenye dildos,bando watakaoumia ni haohao maana najua hawawezi pata nguvu ya kujisukumia dildo bila kula,na kula yao ni uombaomba wao.Na dildo ambazo zenyew haina kelele wala lawama. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shida ni mazingira uliyokulia dada-angu, unakuta haujawahi kufanyiwa party yoyote tangu uzaliwe hivyo hauwezi kulipa uzito swala la birthday.Mi nikimwona mwanaume anaemention birthday party sijui namwonaje? Aisee
Uzuri umeelewa nilichomaanisha sina haja ya kurudiaSoma vizuri ulichoandika na uache kukurupuka
REALLY????? you mean there is no financially stable ladies out there who have something to add me, came on man, maybe you are just used to dating these broke girls, not meUtakufa na genye zako mzee wa kaz...
Just do the minimum and leave them alone , unless you dating to marry
In which world do you live, i dont mean physical world, i mean mental world????Mwamba hii kitu ya omo umemwaga hapa si mchezo. Relax man! ladies are flowers acha tuwahudumie. They were born to be taken care of. Ni fahari kwa mwanaume kumuhudumia mpenzi wake jombi na ndio inakupa confidence ya kiuanaume.
Tafuta hela mdogo wangu uache kupingana na necha. Nguvu unazotumia kupingana na necha ungetumia kutafuta mpunga mkuu, necha hautaiweza nakuhakikishia.
Dah! aisee ila umeenda mbali sana mkuu, unalinganisha kuletewa valentine's gift na girl mkuu ndio na wewe umpe? Usifike huko kamanda please.
Nina manz ambaye ni best yangu sana now japo natafta mbinu nimtafune kimasihara ila huwa ananiambia hivyo hivyo kuwa anaombaga hela kwa mtu asiye na hisia nae just to cut him off! Au anakula offer zako za out na tunda hakupi ila anayempenda wala hamsumbui hata kidogo so huenda hili ni la kweli maana nimeyasikia kwa manzi kabisa!Ila me naonaga mwanamke anayekuomba sana hela ni hakupendi. Mwanamke anayekupenda wallah hela yako anakuhurumia mno. Anakua kama mzazi wako akiona unamisuse hela. Thats how it goes buddie[emoji4]
Ujue we ushaiva kibaharia π ila pia pisi utakuwa unakula hadi zile mbovuMbona Mimi huwa sitoi hela, na mbususu nakula sana..
Hahahah missiles
Ukisema hivi wanakuona hutaki kuhudumia ila kimsingi hamna mtu anayependa kuelemewa na matatizo ya mtu mwengine bana! Msaada unatoa ila ifike mahala anaepewa msaada aache kuomba kila kitu.Pia siafiki maoni yako mkuu, wewe utakuwa unatoka na hawa kina Mwajuma ndala ndefu wa uswahilini, hana chochote cha kumuingizia kipato zaidi ya mwili wake
Akiamka asubuhi anakuwa yupo kibarazani kupiga umbea na kina Asha Ngedele, au sijui aende kwenye kigodoro huyu lazima umuhudimie tu tena kwa 100%
Ila upate mdada wa kishua ana biashara yake safiii ana usafiri wake utaona kama anashobo na vi mia mia vyako! Dunia inaenda kasi siku hizi wadada tegemezi wanapungua kwa kasi sana hasa wanaojielewa hawataki kutegemea kabisa
Kwanza mimi mdada wa kunitegemea kila kitu simtaki maana ikitokea nimedrop kidogo atategemea kwingine
Wale wa baby rafiki yangu ana birthday halafu sina viwalo kabisa af nywele zangu zimechakaa yani π sijui unansaidiaje mpenz wangu.N
Sidhani kama kuna mwanaume anaempenda kwa dhati mwanamke wake,alafu akashindwa kumhudumia kwa mahitaji yake ya lazima unless awe hana kabisa hela.
Shida inakuja pale ambapo wewe mwanaume unawaza kuwekeza ila mwanamke wako anakuja na mawazo ya kufuja pesa tu bila sababu za msingi.
Mwanamke ambaye baada ya kutimiza mahitaji yote ya familia na ukaamua kumpa 300k leo za matumizi yake binafsi, baada ya wiki anataka tene100kπ za kutumiatumia yeye pekeake,mwanamke ambaye ukiwaza kujenga anaona bora muendelee kupanga.Sasa hapo eti ndo ukute unapambana na biashara,unawaza kuwa na watoto bado nyumbani kwenu mama yako anakutegemea utakubali tu.
Liza na Ibu wa Songea.At a mimi huyu ni mchagga mzigo anabania namshangaa ananichukuliaje?
Mie pia nashukuru nature ya mwanamke niliye naye hanilazimu kumpa hela kila wakati japo akiniomba nampatia ila ni very independent, ananiombaga kwa security checks tu au kuniinjoy tu thus why hata siwazagi! Huwa nashangaa sana wanawake wanaolilia kupewa hela kila mda na kila jambo anaomba hela kama vile ni lazima iwe hivyo!miss pablo unanitia hasira ungekuwa karibu yangu ningekuzaba mubao mmoja matata [emoji848] mods sorry kama sheria za humu haziruhusu ila sijatukana, wee kisichana miss pablo mpaka karne hii bado unawaza tu wewe ni ua?
Kwamba usifanye chochote kuchangia kiuchumi, mimi na mke wangu tukitoka tunajitambulisha kama family sisemi mr fulani na ua langu, na ninajisikia fahari naamin hata siku ikitokea sipo duniani kina Sumayi na Susana wataishi hawataenda kusumbua ndugu zangu coz mama yao nae ni mpambanaji
Harafu sisi tumezaliwa wakiume watano wakike wawili na bahati nzuri au mbaya wakike walipangana mwishoni, baba mwalimu mama nesi na hatukuwa na beki tatu kazi zote sisi kudeki, kupika tumekulia kijijini mara moja moja kipindi mzee anaishi nyumba ya shule kuni na maji tuliletewa na wanafunzi ila alipohama tulifuata sisi kuni porini (kama umewahi kuishi Geita utakuwa unapajua Kasamwa kuna pori la mkangala ) umbali kama km 6 kutoka home
Umetoka homu saa 12 asubuhi kurudi saa 8 mchana, unafika kupika, uoshe vyombo ufue nguo zako
Harafu unaleta story za kazi za nyumbani wewe? Chamsingi ni kufanya kazi kwa ushilikiano, yaani nyie wadada mnazidiwa mpaka na wanyama ndege jike anachangia ujenzi wa nyumba hakai tu kusubiri dume lifanye
Mnaleta u slay queen kwenye hamna, kwamba kama una kikazi kinakuingizia eti za kwako za nani ndo za wote? Tumeungana ili iweje unizalie? kwani siwezi kupata watoto bila ndoa? sipati tendo bila ndoa? nimekuoa unisaidie sio unipe stress
Una bahati upo mbali wewe hiiiiiiiii ningekutwanga mkofi nikulipe
Mwanamke kuomba hela hovyo kuna connection na kukosa adabu! Kukosa adabu kuna connection na kukosa hisia sababu wengi wanajua kwamba wanachofanya ni foul ila they do it sababu hawawapendi hao wanaume!Ukiona mwanamke anakuomba hela ujue kuna bond ipo kati yenu, sio from no where afu akuombe haiwezkan,
Na nyie acheni kuwa vitombi, mbaki na hela zenu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]