Stones za Kwenye nguo

mseseve

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
511
Reaction score
89
Pop up fashion tunapokea tenda mbalimbali kwa ajili ya kushona na kudarizi nguo zote, Tenda kama za makampuni kwa ajili ya wafanyakazi, walinzi, sare za maofisini, suti za kisasa kabisa, Magwanda ya Tanesco, mgambo n.k, bei ni sawa na bure na ni maelewano.

Pia tunadarizi kwa kutumia stones za urembo kwenye nguo za harusi na mashati. Tunaandika na kudarizi Nembo za makampuni na jina kwa kutumia nyuzi (embroidery).

Tunapatikana Sinza kumekucha karibu na kanisa la KKKT conts tunakufuata popote ulipo

Mawasiliano: 0714812375
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…