Alikuwa akichezesha mechi za wanawake !
Siyo lazima; wawezakuta basha tuu kwa asilia...
wasalimie makorora, mabanda ya papa, barabara ya 21 na sahare!!!
Kama ndiyo hivi hata mimi ningechukua namba za simu.wachezaji wenyewe ndo hawa unategemea nini........
Sahare kumejaa maji saa hizi watu tunavua kambare tu huku.wasalimie makorora, mabanda ya papa, barabara ya 21 na sahare!!!
Sahare kumejaa maji saa hizi watu tunavua kambare tu huku.
Tunakusubiri kwa hamu kubwa, nimefika huku jana tu, nimekuja kumuona mjomba naye nimuathirika.pale karibu na kwa baba ubabya?!?!?!? lol nimemiss kambare..........nakuja hapo Lucas kupata moja moto
Tunakusubiri kwa hamu kubwa, nimefika huku jana tu, nimekuja kumuona mjomba naye nimuathirika.