Good LUCKwachezaji wenyewe ndo hawa unategemea nini........
Nakuona We ndo Captain wa kwanza hapo.....My dear nami ndo refa...!!
wachezaji wenyewe ndo hawa unategemea nini........
busha gani limechongoka hivyo?!?!.....eti watu8 si umewaona wenye mabusha kule makorora?!?!?
Labda yapo dizaini mbalimbali
busha gani limechongoka hivyo?!?!.....eti watu8 si umewaona wenye mabusha kule makorora?!?!?
Fanya basi utafiti Maundumula
Nitajie sehemu ambazo naweza kuweka kituo cha research.
Pawe karibu na college ili tuchukue wanafunzi watusaidie kukusanya data, tena wanafunzi wa kike watafaa sana LOL
Huyu ajifurahisha tu...busha tokea lini likavaliwa bukta!!!