Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 42,770
- 50,861
Upo sahihi Mkuu hiyo extinguisher na stika ni utapeli wa hali ya juu...havina msaada wowote...
👍
Upo sahihi Mkuu hiyo extinguisher na stika ni utapeli wa hali ya juu...havina msaada wowote...
Kama gari yako ina usajili wa kale kama namba A au B ndio wanajisumbua kukagua, vinginevyo hata ukienda kituoni na kitu DHY, D?? huwa wanakusaidia tu kubandika.Ndivyo ninavyofanya mkuu,buku 5 yangu chap chap napewa hio sticker,ila kuna mdau hapo chini anasema ye alikaguliwa mpk akapewa na certificate iliyosainiwa na Vehicle inspector.
Hata gari hua siendi nayo kituoni,nikifika natoa buku 5 yangu nachuku stika nduki.Kama gari yako ina usajili wa kale kama namba A au B ndio wanajisumbua kukagua, vinginevyo hata ukienda kituoni na kitu DHY, D?? huwa wanakusaidia tu kubandika.
Hivi unadhani ukaguzi ungekuwa unafanyika kweli, mbona dala dala nyingi tu zingepaki. Kuna daladala zinadawa tetanus, vioo havifunguki na zingine exhaust utafikiri ipo ndani badala ya nje lakini zote zina stika na zinapiga kazi daily
Ndivyo ninavyofanya mkuu,buku 5 yangu chap chap napewa hio sticker,ila kuna mdau hapo chini anasema ye alikaguliwa mpk akapewa na certificate iliyosainiwa na Vehicle inspector.
Usidanganye, ni kwa magari yote.Aisee subiri ukutane nao road halafu uwaambue hicho kitu ulichoandika hapa.
Nakwambia watakujibu huku wanabofya bofya machine yao'Tsh 30,000' ikinukia kwa ukaribu zaidi.
Read btn the lines,huoni yeye amesema stika ni kwa ajili ya magari ya biashara nikwambie aje apigwe mkono na trafiki akiwa na private car then aulizwe stika ajibu hivyo aone kama hatapigwa hio fine 'Tsh.30,000.Usidanganye, ni kwa magari yote.
Hahah aisee simpatii picha maana wale jamaa hua hawakosi makosa kabisaaaa.Hahaha. Sijui alitumia muda gani kukamilisha hilo zoezi...!
Na sasa Loss Report imekuwa mradi kwenye vituo vya polisi, ukifika unaelekezwa kwa vijsna waliokaa na kompyuta na printa nje ya kituo, huko ni malipo tu inafika hadi sh.7,000/=.Upo sahihi Mkuu hiyo extinguisher na stika ni utapeli wa hali ya juu...havina msaada wowote...
Mkuu, ebu fafanuwa kidogo hapaHizo stika ni wizi kama ule wa fire extinguisher,
Mkuu, ebu fafanuwa kidogo hapa
Hivi unadhani ukaguzi ungekuwa unafanyika kweli, mbona dala dala nyingi tu zingepaki.
Mkuu, mimi gari yangu sijakata sticker ya nenda kwa usalama na sasa yapata mwaka mzima nina tembea mikoa tofauti na the same gari wala sijapata huo usumbufu.Stika zinatakiwa kutolewa kwa mwenye gari baada ya gari kukaguliwa na kuonekana linafaa kutembea barabarani, shilingi 3000 gari private na 5000 gari la biashara, tunaposema traffic police ni wezi ni kwasababu, unaweza kuacha gari nyumbani ukaenda kuwaambia nahitaji stika wakakuuzia bila hata bila kuliona gari au ukaenda na gari ukawaomba waje nje ya ofisi wakague gari, wanakutazama kutoka kichwa mpaka unyayo wanakuambia leta hela wanakupa stika na huko kwenye gari hawaji.
Fire sitaki kabisa hata kuwazungumzia walinitia kichefuchefu, hivi kuna mtu asiyejua umuhimu wa kizimia moto?
Huyo itakua alichunguza sana na kutaka kuchimbachimba sheria inasemaje kuhusu hizo stika. Halafu ukitaka kuwatibua zaidi we watajie Lugola. Watafuata sheria halafu utapoteza muda mwingi.Ndivyo ninavyofanya mkuu,buku 5 yangu chap chap napewa hio sticker,ila kuna mdau hapo chini anasema ye alikaguliwa mpk akapewa na certificate iliyosainiwa na Vehicle inspector.
Hahah aisee wale jamaa hawampendi Lugola mbaya kabisaaaa.Huyo itakua alichunguza sana na kutaka kuchimbachimba sheria inasemaje kuhusu hizo stika. Halafu ukitaka kuwatibua zaidi we watajie Lugola. Watafuata sheria halafu utapoteza muda mwingi.
Yaani ukiingia tu pale UBT (Ubungo Bus Terminal) wakati wa kutoka utakutana na wale matrafiki pale getini wakati unatoka... UNAAMBIWA TU SIMAMA, BADALA YA KULIPA FINE LIPIA STIKA TSHS. 5,000/-.... Vinginevyo jitolee kupoteza mudaNaomba kuuliza kwa wanaojua hizi stika za usalama barabarani, bado zinatumika au ziliisha ondelewa na Waziri wa mambo ya ndani Lugola.
Maana naona traffic wakiziuza na baadhi ya watu wanasema ziliondolewa naomba wahusika mnifahamishe
Aisee subiri ukutane nao road halafu uwaambue hicho kitu ulichoandika hapa.
Nakwambia watakujibu huku wanabofya bofya machine yao'Tsh 30,000' ikinukia kwa ukaribu zaidi.
Mhh aisee ni kweli kila nikipita karibu na kituo naona foleni kubwa isiyoisha mwanzo nikajua ni kituo cha kusajiri line kumbe ni loss report na stationary moja imeandikwa bango nje unalipia Loss Report hapa duu hawatamani Wananchi wabaki hata na chenji maana mishahara yenyewe chenji tuu mtu anafanya kazi matumizi ya kawaida kichwa kinamuuma mbaya mwendo wa Panadol na yeye aisee...Na sasa Loss Report imekuwa mradi kwenye vituo vya polisi, ukifika unaelekezwa kwa vijsna waliokaa na kompyuta na printa nje ya kituo, huko ni malipo tu inafika hadi sh.7,000/=.