ntabhaligwa
Senior Member
- Jan 2, 2017
- 141
- 102
Leo baada ya kusoma post hii ndio naaanza kuona dhamira ya dhati ya uchumi wa viwanda, naungana na mchangiaji mmoja kwamba ningekuwa JPM ningesitisha hata mrad wa reli ya Standard gauge! jambo hili limekuwa likinitia uchungu mkubwa, leo ethiopia nchi iliyokumbwa na balaa kubwa la njaa itaanza kuuza umeme nchi nyingine na kuuza mbogamboga ulaya baada ya kumalizika Rennissance Dam litakalotoa megawat 6000. kuwa na uhakika wa power ndio chanzo cha maendeleo ya nchi, mradi wa reli, bandari,njia za juu, viwanda n.k tutaujenga na kuendesha kizalendo kizalendo zaidi kama tutakuwa na uhakika wa power,
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app