Stiegler’s Gorge hydroelectric power plant said to affect World Heritage site hetitage

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,571

  • upload_2017-7-4_15-4-21.jpeg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waziri wa Maji, Umwagiliaji na Umeme wa Ethiopia Dkt. Seleshi Bekele na ujumbe kutoka kwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo iliyopo nchini kusaidia mchakato wa ujenzi wa Dam (bwawa la kuzalisha umeme) la Steigler’s Gorge Ikulu jijini Dar es salaam

JOHANNESBURG – The United Nations has called it one of Africa's biggest remaining wilderness areas. Now a dispute over a planned hydropower dam in Tanzania's Selous wildlife reserve pits the country's president against conservationists who say the project could cause irreparable damage to the UNESCO World Heritage site.

On Tuesday, a few days after President John Magufuli said the Stiegler's Gorge dam will be built "come rain, come sun," the WWF conservation group said in a report that the project threatens an important wetland as well as the livelihoods of more than 200,000 people in impoverished areas, reliant on fishing, that would be downstream.

The Selous, which covers nearly 50,000 square kilometers (19,300 square miles), has been under pressure from poachers who have decimated its elephant population to supply the illegal ivory market. Mining concessions and other industrial projects are also a concern as the East African nation's campaign to boost its economy conflicts with international efforts to preserve habitats and their wildlife.

Speaking Saturday in Dar es Salaam, Magufuli said the dam and resulting reservoir will cover only about 3 percent of the Selous.

"We are not going to listen to people who speak about impacts on environment without facts on the ground," Magufuli said, according to Tanzania's Daily News newspaper.

However, conservationists say the project could have a negative impact on a much bigger area, for example by cutting off wildlife migration routes. The WWF has asked for an environmental assessment in line with Tanzanian law and wants the government to consider alternative ideas for generating power.

The plan at Stiegler's Gorge has been discussed for decades. Once completed, the project would increase Tanzania's power generation from 1,450 megawatts to at least 4,000 megawatts, according to the Daily News.

___
 
UNESCO Watuache tuzalishe Umeme, Kama hawataki basi watupe wao kwa gharama zao source nyingine ya umeme
 
Waende zao huko Wazandiki wakubwa. Wanataka watu waje kutuangalia tu kama wanyama wakati hakuna la maana lolote Taifa tunafaidika na Maendeleo. Tanzania ni nchi huru. Pambafu zao.
 
Waende zao...hata...Egypt...walipinga...kujengwa kwa...huo mradi wa Ethiopian...lakn walikomaa...wakajenga...sasahvi...mambo yanaenda vizr....magu akomae...tu.....umeme muhimu sana....kwa maendeleo ya nchi yoyote dunia
 
Mimi ningeachana na mradi usio na tija wa serikali kuhamia Dodoma makao makuu na kuelekeza fedha za mradi huo wa kuhamisha serikali katika mradi huu mkubwa wa umeme Afrika wa Stiegler's Gorge ili umalizike kwa kasi na ndani ya muda mfupi.

Dodoma ibaki kuwa makao ya mhimili wa Bunge na Dar-es-Salaam mhimili wa Serikali. Serikali ya awamu ya tano imebaki kuzindua kukamilika miradi mikubwa iliyofanywa na serikali ya awamu ya tano ya Mh. Jakaya Kikwete.

Ni wakati wa serikali ya awamu ya tano kujikita katika miradi kama huu wa umeme ili ikiondoka iache kitu kinachoonekana na chenye manufaa kwa uchumi wa taifa hili mambo ya kutafuta sifa kuhamia Dodoma watumie ile falsafa ya Mwalimu Nyerere ''Tujisahihishe na kuachana na makosa'' ya kutaka kuhamia Dodoma.
 
Wao wanasonga mbele wanataka sisi tuendelee kuwa omba omba na watumwa wao. Serikali isisikilize ujinga huu.
 
Mradi huu ni mhimu sana, hata awamu zilizopita hawakutakiwa kuwekeza kwenye mitambo ya gesi, hela hizo wangewekeza kwenye mradi huu ingelipa zaidi ya mara tano ya uwekezaji kwenye mitambo ya gesi. Nchi nyingi zilizoendelea vyanzo vikubwa vya umeme ni Hydro, kisha neuclear na gesi.
Wazungu hawawezi kuacha kupiga kelele, watapiga kelele tu maana ni sehemu ya kazi zao kutetea hivyo wanavyopigia kelele. Hata Kihansi walipiga kelele lakini mpaka sasa umeme unazalishwa. Waarabu hawakutaka maji ya ziwa victoria yatumike kwa binadamu wa East Africa lakini Mkapa alijenga miundombinu mpaka leo Shinyanga wana maji.
Hii ni vita ya uchumi
 
TANZANIA is one of the countries laying across the Indian Ocean and climatic weather conditions and water availability is the key to this country to develop very fast. But ask yourself why;
1. Tanzania is close to the Congo forest?
2. Tanzania is rated to, still have a lot of fresh water reserve in Africa
3. One of the most attractive countries in the world
4. The most important ecosystem in Tanzania was made and created along the Rufiji river and its catchments
1. Economy is over balancing the other two angles Social equity and environmental sustainability

Enough for now, let's see what is next
thanks.
 
House nigers Tundu Lisu & Co. washaingia kazini kumtetea Muzungu!
 
TANZANIA is one of the countries laying across the Indian Ocean and climatic weather conditions and water availability is the key to this country to develop very fast. But ask yourself why;
1. Tanzania is close to the Congo forest?
2. Tanzania is rated to, still have a lot of fresh water reserve in Africa
3. One of the most attractive countries in the world
4. The most important ecosystem in Tanzania was made and created along the Rufiji river and its catchments
1. Economy is over balancing the other two angles Social equity and environmental sustainability

Enough for now, let's see what is next
thanks.
Tanzania niyetu
Hatuta muelewa mtu
 
Chadomo bwana washaanza ligi

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom