Hivi karibuni idara ya zimamoto imeanza kutoza/kuuza sticker za zimamoto kwa viwango mbali mbali kulingana na ukubwa wa gari. Bei ya chini ya sticker ni 5000/= kwa gari ndogo[saloon] na kuendelea.
Hivi sisi wadanganyika hatuoni kwamba hii ni daylight robbery?!
Ni mpaka lini tutabaki kuwa wajinga kiasi hicho?
Nawaaminia GREAT THINKERS - hebu tujadili suluhisho la uonevu kama huu!!!:A S-danger: