Steven Wassira atahadharisha wasomi

Steven Wassira atahadharisha wasomi

Vijana wasomi wa vyuo vikuu nchini wameonywa kuwa wasipotumia taakuma yao kupambanua ukweli na uwongo wa vyama vya kisiasa, wataendelea kuwa wateja wa wanasiasa uchwara na wanaochumia matumbo.

Wassira aliyagungumza hayo alipokuwa amealikwa kwenye kongamano lililofanyika mwanza na kushirikisha vyuo mbalimbali kama SAUTI- MWANZA,CBE-MWANZA.

Pia kutambua kuwa hakuna uhusiano kati yafedha na akili hivyo watumie elimu na maarifa katika kupata viongozi bora wanaojali watu, nasio ukoo au ukanda.

Wasira akieleza kuwa fedha zinawezesha kupata elimu lakini hazina mahusiano na akilina kuwa hakuna anayeweza kuziiba.

Wassira ni waziri wa nchi ofisi ya rais mahusiano na uratibu ni moja kati ya viongozi waliowahi kuteuliwa na HAYATI baba wa taifa mwalimu julius kambarage nyerere. akiwa mkuu wa wa wa mkoa wa Pwani.

Hivi wanasiasa uchwara wanaochumia tumbo Wassira si mmojawapo? Yaani mtu ananyoosha kidole akielekeza kwake...duh siasa mmh.
 
Binafsi namkubali sn,kwani uwezo wake ni sawa na moringe!

Kwa kigezo kipi? Njoo jimboni kwake! Ameshindwa kurudisha kiwanja cha wananchi (shule ya msingi balili) kilichotaifishwa na aliyekuwa mkuu wa wilaya Chiku Galawa. Tembelea maeneo ya Nyamakokoto, Bunda Stoo, Nyasura, Migungani na sehemu nyingine, wananchi wanataabika shida ya maji.

Miaka yote, anawahadaa na matenki ya maji ambayo yamegeuka kuwa makazi ya nyani!
Endelea kumkubali!
 
Back
Top Bottom