Steven Kanumba Profile

pia CV yake inaonesha aliwahi kualikwa kwenye jumba la big brother Africa as a celebrity! na akaongea kidhungu kikali..
 
Nina mtazamo huu
kama mimi najiona kipanga siwezi mzunguzia kilaza.
Ukimzungumzia kilaza wakati wewe ni kipanga jua huyo kilaza anakunyima usingizi.
 
Kina Kanumba wanaogopa nini kuweka profile zao mezani wapenzi wa filamu zao wakawajua kiundani kama hawa mastar wa nje?

Mkisha jua kiundani mtapata nini?
Endeleeni kuangalia maigizo yake mburudike
 
Nimechungulia site zote hamna kitu....
Nadhani hiyo inaelezea zaidi ye ni msanii wa namna gani na management yake kama ipo.
 
Hahahahaaaa "THE GREAT" na 0 form6 hahahahahahaaaa! Ajiendeleze tuu tena nw hana haja ya kuxoma atoe kidogo apate cheti cha div1 serikali ya JK nikutabasamu tuu kama una vijisenti
 
Sio kwamba namtetea kanumba,la hasha,nimemaliza mwaka mmoja nae pale jite alikuwa hkl yeye na myamba,kanumba ana div 2
Hahahahaaaa "THE GREAT" na 0 form6 hahahahahahaaaa! Ajiendeleze tuu tena nw hana haja ya kuxoma atoe kidogo apate cheti cha div1 serikali ya JK nikutabasamu tuu kama una vijisenti
 
Sio kwamba namtetea kanumba,la hasha,nimemaliza mwaka mmoja nae pale jite alikuwa hkl yeye na myamba,kanumba ana div 2

Wewe utakuwa kanumba kama siyo then hawara yake Kijana we2 wa Kisukuma
 
Sio kwamba namtetea kanumba,la hasha,nimemaliza mwaka mmoja nae pale jite alikuwa hkl yeye na myamba,kanumba ana div 2

bora ume clarify wengine humu wanaponda tu bila vivid informations...
 
0938
m
stephen kigina
16
iv
general-f physics-s chemist-s biology-d basic a-f
0939
m
stephen zacharia
10
ii
general-s history-d kiswahi-c english-c
0940
m
steven kanumba
12
ii
general-s history-c kiswahi-d english-e
 
0938
m
stephen kigina
16
iv
general-f physics-s chemist-s biology-d basic a-f
0939
m
stephen zacharia
10
ii
general-s history-d kiswahi-c english-c
0940
m
steven kanumba
12
ii
general-s history-c kiswahi-d english-e

Duuh..nadhani umemaliza utata wote wa division 0 sasa...#Umenyoosha!!
 
Kwa msanii ukimuuliza kuhusu elimu hapo ndo atakapochanganyikiwa kama mwanaume asiye na tohara anapokutakana na mwanamke asiyetaka kufanya mapenzi na wanaume wenye govi
 
0938mstephen kigina16ivgeneral-f physics-s chemist-s biology-d basic a-f
0939mstephen zacharia10iigeneral-s history-d kiswahi-c english-c
0940msteven kanumba12iigeneral-s history-c kiswahi-d english-e

Acha urongo wewe hayo majina mbona hayajafuata mpangalio wa alphabet kama NECTA wanavyopangaga?
 
Huo ni unafiki tu, na tatizo lingine kubwa wabongo ni kukurupuka mtu hujafanya utafiti kutafuta profile kwenye blog yake unaleta mada zisizo na kichwa wala miguu na kwa kuwa wabongo kwetu majungu ndiyo kazi wakaanza mara ooh hawana cha kuandika wewe unacho, na comment zingine ambazo ukizisoma kwa umakini utagundua kwamba watu wanataka kuandika tu. Weka profile yako wewe kwanza tuione acha maneno yasiyo na maana. Elimu yako haimsaidii yeye kama unaona wewe umesoma sana kushinda yeye basi mwache kijana wa watu.Fanya kazi mwaka mpya huu.
 
Kweli Kanumba kazaliwa 1984??? 1994 Alikuwa na miaka 10??? 2004 Alikuwa na miaka 20??? na kesho anatimiza miaka 28??? JESUS CHRIST!!!
 

Afadhali umewaambia ukweli coz washageuza JF kijiwe cha majungu.Wapeleke majungu U-Turn kwa wenzao.Kuna wengine nimetoka kuwachana live wameanzisha thread ya kumuhusu Chalz baba kuchapia kingereza.Wabongo hatuendelei kutokana na hii tabia ya majungu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…