Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,640
- 697,994
Naona kijana anaanza kupiga jalamba la uchawa wa mamlaka ya juu katika awamu hii... Ni juzi tu hapa kapewa ubalozi wa corona! Zingatia 'ubalozi wa corona' sasa naona kawehuka na kuanza kuwatisha wanaccm wenzake.
Msikilize kwenye hizi video fupi mbili zinazoendelea kuenea kwa kasi mitandaoni anawatisha, anawaonya anawapiga vijembe..anajivika mamlaka yasiyojulikana kayapata wapi.
Musiba mwingine huyu anajiinua taratibu.. Je ataweza?