Steve Nyerere awaonya wana CCM wanaojipanga kuanzisha chama kipya kuacha hizo chokochoko mara moja

Mgombea Ubunge wa CCM, Jimbo la Iringa mjini mwama 2020 Steven Mengele aka Nyerere amewaonya baadhi ya wanachama wa CCM waliojipanga kuanzisha chama kipya kuachana na mpango huo mara moja

Nyerere amesema anaujua mpango mzima na kwamba muda ukifika atawaumbua mchana kweupe.

Mungu ni mwema wakati wote!

hawajufunzi kwa musiba tu “ sponser ufariki “ chunga mdomo wako Steve
 
Mgombea Ubunge wa CCM, Jimbo la Iringa mjini mwama 2020 Steven Mengele aka Nyerere amewaonya baadhi ya wanachama wa CCM waliojipanga kuanzisha chama kipya kuachana na mpango huo mara moja

Nyerere amesema anaujua mpango mzima na kwamba muda ukifika atawaumbua mchana kweupe.

Mungu ni mwema wakati wote!
Huyu dogo ana cheo gani kule chamani, au ndiyo kakabidhiwa mikoba ya Slow Slow au kajipa rank ya Musiba the 7.5 billion Tsh man.
 
Mgombea Ubunge wa CCM, Jimbo la Iringa mjini mwama 2020 Steven Mengele aka Nyerere amewaonya baadhi ya wanachama wa CCM waliojipanga kuanzisha chama kipya kuachana na mpango huo mara moja

Nyerere amesema anaujua mpango mzima na kwamba muda ukifika atawaumbua mchana kweupe.

Mungu ni mwema wakati wote!
''Mwalimu alisema CCM sio mama yangu.''
 
Mgombea Ubunge wa CCM, Jimbo la Iringa mjini mwama 2020 Steven Mengele aka Nyerere amewaonya baadhi ya wanachama wa CCM waliojipanga kuanzisha chama kipya kuachana na mpango huo mara moja

Nyerere amesema anaujua mpango mzima na kwamba muda ukifika atawaumbua mchana kweupe.

Mungu ni mwema wakati wote!

kwani sheria inasemaje?
 
Ujinga tu kuanzisha chama tangu lini ikawa ni kosa
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Back
Top Bottom