Steve Nyerere awaonya wana CCM wanaojipanga kuanzisha chama kipya kuacha hizo chokochoko mara moja

Steve Nyerere apewe utendaji Kata atulie kinacho mtatiza ni UTEUZI na kwa level yake ya uelewa Kata ndio size yake.
Kata ni kubwa sana kwake ateuliwe awe mtendaji wa Kijiji.
Akiteuliwa kuwa mtendaji kata atafanya vitendovya ajabu na ukatili zaidi ya Saabayaa
 
Kata ni kubwa sana kwake ateuliwe awe mtendaji wa Kijiji.
Akiteuliwa kuwa mtendaji kata atafanya vitendovya ajabu na ukatili zaidi ya Saabayaa
Hahahahah! Daah, nimejikuta nacheka tuu...si kila mtu anafaa kuwa kiongozi.

Inafikia mnakuwa nanwatu waliojaza nafasi za uongozi ila si viongozi no creativity at all, mtu mwaka mzima hakuna ubunifu alioufanya kutatua tatizo la anaowaongoza iwe kwa muda mrefu wala muda mfupi.
 
Mgombea Ubunge wa CCM, Jimbo la Iringa mjini mwama 2020 Steven Mengele aka Nyerere amewaonya baadhi ya wanachama wa CCM waliojipanga kuanzisha chama kipya kuachana na mpango huo mara moja

Nyerere amesema anaujua mpango mzima na kwamba muda ukifika atawaumbua mchana kweupe.

Mungu ni mwema wakati wote!
Steve anajikuta msemaji wa chama mara msemaji wa yanga mara kwenye vikao vya siku ya wanawake aonekane. Mara michango ya misiba kila wakati yy ndo capten. Kufupi tu hili taifa linahitaji maboresho ya katiba maana wapo watu hawastahili hata kuwa na sauti kwenye uma sema tu hizi habari za kujipebdekeza ndizo zinawapa kuonekana na kubwabwaja.
 
Mgombea Ubunge wa CCM, Jimbo la Iringa mjini mwama 2020 Steven Mengele aka Nyerere amewaonya baadhi ya wanachama wa CCM waliojipanga kuanzisha chama kipya kuachana na mpango huo mara moja

Nyerere amesema anaujua mpango mzima na kwamba muda ukifika atawaumbua mchana kweupe.

Mungu ni mwema wakati wote!
Hahahah ni haki yao kikatiba
 
Back
Top Bottom