Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,377
kuweni making Sikh hizi WhatsApp wanaban namba
Wanajf kama ulikuwa hujapata habari hii! basi hapa panakuhusu sana,ogwatsapp inapatikana kwa wale mlioimiss kwa muda tangu na ambao hamkufurahishwa na ujio wa WhatsFapp basi karibu urudi enzi zako., link hii http://www.ogwhatsapp-download.com/og-whatsapp-apk-android-app-work-now-2015-latest-version-apk/]
OGWHATSAPP DOWNLOAD HAPA
[/url]
Cheers kuinstall ni vilevile
Mkuu mbona najaribu kuinstall zinasumbua zote mbili kuwepo...nikikamilisha og ya kawaida inagoma kudownload
Unashindwa wapi?? ebu eleza kidogo ulivyoanza na kushindwa usaidiwe?
Unashindwa wapi?? ebu eleza kidogo ulivyoanza na kushindwa usaidiwe?
Gambas OGWhassap imekubali ila hii ya kawaida kila napojaribu kuidownload inasumbua saana
Si unadownload kupitia playstore? inafail kumalizia kudownload au inasumbuaje
Unashindwa wapi?? ebu eleza kidogo ulivyoanza na kushindwa usaidiwe?
Umedowmload kupitia link ya hapo huu??It seems your client has been modified. Ndio meseji napata halafu ogwa inazimwa
mbona inakataa