Sterring hauawi; OGWHATSAPP INAPATIKA TENA

Sterring hauawi; OGWHATSAPP INAPATIKA TENA

Tujisahihishe Tz

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
3,050
Reaction score
1,359
Wanajf kama ulikuwa hujapata habari hii! basi hapa panakuhusu sana,ogwatsapp inapatikana kwa wale mlioimiss kwa muda tangu na ambao hamkufurahishwa na ujio wa WhatsFapp basi karibu urudi enzi zako., link hii
OGWHATSAPP DOWNLOAD HAPA




JINSI YA KUISTALL


Kabla hatujaanza hatua moja baadavya nyingine
fanya yafuatayo nenda katika whatsapp yako nenda Setting>chat setting>backup conversations click hapo
Hatua ya kwanza uninstall (iondoe/futa) official whatsapp


baaada ya ku-uninstall hiyo official whatsapp,
Twende pamoja hatua ya pili, bonyeza menyu kisha tafuta app kama siyo file imeandikwa ``File Manager" kisha iclick baada ya kuiclick itakuletea mafolders mengi tu tafuta folder limeandikwa Whatsapp baada ya kulipata lihold hilo file kwa ajili ya kurename na uandike OGwhatsapp.
Hatua ya tatu, download OGwhatsapp kisha install na weka namba ya simu uliyokuwa unatumia kwenye official whatsapp uliyoifuta mpaka hapo


namba yako ya kwanza itakuwa iko tayari kwa kuendelea kutumika.
Namba ya pili sasa Unatakiwa udownload official whatsapp na weka hiyo namba nyingine ya pili tayari kwa matumizi ya namba ya mbili katika simu yako ya line moja.


Enjoy
 
Wanajf kama ulikuwa hujapata habari hii! basi hapa panakuhusu sana,ogwatsapp inapatikana kwa wale mlioimiss kwa muda tangu na ambao hamkufurahishwa na ujio wa WhatsFapp basi karibu urudi enzi zako.Nashindwa kuweka link hapa ili watu muipakue ila kufikia kesho nitakuwa nimeweka, bado haijaonekana katika site nyingi hivo unaweza search usiipate ila pia unaweza ipata

wengi twasubiri hiyo link
 
Nina maelezo machache kuhusu OGwhatapp pia nina link ya kuidownload and how to install it...
 
Kwakifupi OGwhatsapp unaruhusu kutumia account mbili katika whatsapp application moja katika cm yako... more info..👇
 
OGWhatsApp

Once you install OGWhatsApp on your Android device, the app allows you to use two different telephone numbers with WhatsApp from the same smartphone.

What is OGWhatsApp??

OGWhatsapp is a modded version of Whatsapp messenger for Android devices.
It is used to use 2 whatsapp account in one single android device i.e. dual whatsapp account for whatsapp dual sim
OGWhatsapp doesn’t require to ROOT your android device.
 
Ahsante mkuu let me try

Ukishaidownload kabla ya kuinstall backup kwanza data kwenye official whatsapp na kisha uninstall hiyo official na ingia kwenye mafaili ya simu na tafuta folder limeandikwa whatsapp rename hilo folder kuwa OGwhatsapp ndo unstall hiyo ogwhatsapp
 
Back
Top Bottom