TIQO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 13,786 Reaction score 2,104 Jun 6, 2013 #1 [h=5]Bar maarufu Kinondoni iitwayo 'STEREO' hivi sasa inateketea kwa moto mkubwa sana,na hata nyumba za jirani zinaathirika..[/h]
[h=5]Bar maarufu Kinondoni iitwayo 'STEREO' hivi sasa inateketea kwa moto mkubwa sana,na hata nyumba za jirani zinaathirika..[/h]
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,232 Jun 6, 2013 #2 Pole kwa waliopata masahibu Mmejaribu kuita fire?
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,709 Jun 6, 2013 #3 tz hakuna fire na wakiitwa wanakurupuka wakifika eneo la tukio wanauliza maji yanapatikana wapi. Kongosho said: Pole kwa waliopata masahibu Mmejaribu kuita fire? Click to expand...
tz hakuna fire na wakiitwa wanakurupuka wakifika eneo la tukio wanauliza maji yanapatikana wapi. Kongosho said: Pole kwa waliopata masahibu Mmejaribu kuita fire? Click to expand...
gfsonwin JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 18,272 Reaction score 20,715 Jun 6, 2013 #4 dah! pole zao wahanga. halafu hapo ni jiran na kwa akina TID usikute na nyumba yao imeungua mweeh!
marejesho JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 6,634 Reaction score 3,661 Jun 6, 2013 #5 Poleni ndugu...
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 20,028 Reaction score 16,150 Jun 6, 2013 #6 du nitakuwa napigia wapi kilaji sasa!!!