nb nifahamishwe yafuatayo; Wassira anaratibu mahusiano gani serikalini,kwa sababu uhusiano wa kimataifa kuna Membe, EA kuna 6, mambo ya ndani kuna Nahodha. mi naona huyu mzee kwa Magamba anasimama kama kamanda wa kupika majungu tu cz alipewa wizara ya kilimo hakuna alicho fanya huko!