kuna watu waliupata urais kwa kigezo cha sura nzuri,,,leo weengi walomchagua wanalia tu
Ahsante kwa taarifa, na pole kwa kunihurumia nimefarijika, AHSANTEWewe ni wa kuhurumiwa tu,unachokisema hukijui.
Huyo dada huko vijijini hawamjui ni mtu wa Magazeti tu.