Stephen Wassira: Mwanasiasa mwenye msimamo thabiti

chuki

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Posts
2,715
Reaction score
534
Katika Wanasiasa wenye msimamo usiyoyumba, wanajiamini na kusimamia sera za chama chake.
Tangu nimemjua Wassira amekuwa kiongozi anaetekeleza kwa vitendo sera za chama na serikali, kuanzia jimboni kwake mpaka nafasi zote alizowahi kuongoza.

Haya bado yamejidhihirisha katika bunge hili la katiba. Huyo ndie Wassira!

Last edited by a moderator:
Amekuwa mbunge na kiongozi tangu miaka ya 70. Amefanya kipi significant kwenye jamii aliyoiongoza au kuiwakilisha?
 
Alijenga hoja madhubuti kwa Baba wa Taifa na kukubali kuanzisha wilaya ya Bunda yenye majimbo mawili.

Miradi ya maendeleo jimbo la Bunda,Maji,Afya,Kilimo na Barabara.
Katila wizara zote alizoongoza amekuwa mwadilifu,mzalendo na mtekelezaji.
 
Ungesema mwanasiasa Malaya wa siasa na mlopokaji ningeunga mkono, au neno thabiti siku hizi lina maana hizo nilizotaja???
 
Kwa Lugha hii uliotumia unadahani nani Kati yako wewe na yeye(Wassira) nani kaonenekana mropokaji na mjinga? Ni vyema uwe unafikirikwanza kabla ya kuandika.

Unaemsema hivyo ni Mbunge anaechaguliwa na kushinda mara nyingi katika jimbo lake na isitoshe kuna tetesi anaweza kuwa Mgombea urais 2015 kupitia CCM.
Jitafakari.
 
Alijenga hoja madhubuti kwa Baba wa Taifa na kukubali kuanzisha wilaya ya Bunda yenye majimbo mawili.

Miradi ya maendeleo jimbo la Bunda,Maji,Afya,Kilimo na Barabara.
Katila wizara zote alizoongoza amekuwa mwadilifu,mzalendo na mtekelezaji.

Mwaka 2009 nilibahatika kutembelea Bunda ambapo nilikaa kwa siku tatu.
Watu wanaopata maji safi ya kutumia ya bomba pengine ni chini ya 5%.
Wafugaji niliowaona around walikuwa katika halu mbaya ya umasikini na kuhama hama.
Sikuona mradi wowote wa kilimo ukiacha kilimo holela cha kutegemea mvua
Matokeo ya mitihani kwa miaka yote Bunda imekuwa haifanyi vizuri hali inayoashiria ukosefu wa vitendea kazi
Hospitali ya wilaya ya Bunda ni kituko, upungufu hadi wa vyoo
Usambaaji wa umeme wilayani bunda ni duni na wananchi walio na huduma ya umeme (sikuwa na uhakika kama ni wa TANESCO au generator) ni wachache saana...

Kwa kipindi alichokuwa waziri wa maji hakuna cha maana alichofanya tumkumbuke nacho...

Wizara anayohudumu kwa sasa ndio ameshindwa kabisa kuimarisha mahusiano kati ya ikulu na wananchi. Mara ya mwisho alidiriki kutofautiana na raisi kwa yeye kuapa kuwa hawatawaita tena wapinzani ikulu

Kikubwa alichoifanyia CCM ni kutabiri kuwa CDM ingekufa mwaka 2013, ambapo nalo alichemsha...
 
Msimamo hana ndo mana alikuwa anahama hama vyama vya siasa we utasemaje anasimamia sera ya chama?
Au tujuze chama gani hiki alichopo ama alichotoka kabla ya hiki?
Fuatilia historia yake Ktk siasa ndo useme ulichokisema
Na ndo utajua kwann jjjjkkk kampa jina la tayson
 
Kwa Lugha hii uliotumia unadahani nani Kati yako wewe na yeye(Wassira) nani kaonenekana mropokaji na mjinga? Ni vyema uwe unafikirikwanza kabla ya kuandika.

Unaemsema hivyo ni Mbunge anaechaguliwa na kushinda mara nyingi katika jimbo lake na isitoshe kuna tetesi anaweza kuwa Mgombea urais 2015 kupitia CCM.
Jitafakari.

Kugombea urais CCM ni kutokana na CCM kuwa haina tena mwelekeo, yoyote hata mbulula kama wewe anaweza kugombea, pili kupata kura nyingi bunda si kigeo cha kuwamtu bora, hujaskia kura zinaibiwa?? rais anangangania kuteua tume ya chaguzi kwa maslahi ya nani??? mzalendo na mwenye akili nec huru ilipaswa sije iku ya kwanza maana hakun hilakinyume chake niwizi, polisi wanaua watu chini ya usimamizi wao wanapandishwa vyeo, kama hujui vitu vidogo kama hvi utafaa nini dunia ya leo???
 
kweli kabisa, huyu wasira ni mahiri sana ni mwanasiasa anayejua siasa na anachokifanya. Ndo maana wale masalia huwa wanajiunga chadema na kusingizia kuwa wao ni watoto wa wasira ili wapate umaarufu
 
siku 3 ulizokaa hapo bunda zatosha kusema chochote? isitoshe ulikuwa single point. au ndo akili za kibavicha ukifika kijiji kimoja then umemaliza jimbo zima. eti <5% ndo wanapata maji! day dreamer. hujui chochote we kimsukule cha kibavicha

Mwaka 2009 nilibahatika kutembelea Bunda ambapo nilikaa kwa siku tatu.
Watu wanaopata maji safi ya kutumia ya bomba pengine ni chini ya 5%.
Wafugaji niliowaona around walikuwa katika halu mbaya ya umasikini na kuhama hama.
Sikuona mradi wowote wa kilimo ukiacha kilimo holela cha kutegemea mvua
Matokeo ya mitihani kwa miaka yote Bunda imekuwa haifanyi vizuri hali inayoashiria ukosefu wa vitendea kazi
Hospitali ya wilaya ya Bunda ni kituko, upungufu hadi wa vyoo
Usambaaji wa umeme wilayani bunda ni duni na wananchi walio na huduma ya umeme (sikuwa na uhakika kama ni wa TANESCO au generator) ni wachache saana...

Kwa kipindi alichokuwa waziri wa maji hakuna cha maana alichofanya tumkumbuke nacho...

Wizara anayohudumu kwa sasa ndio ameshindwa kabisa kuimarisha mahusiano kati ya ikulu na wananchi. Mara ya mwisho alidiriki kutofautiana na raisi kwa yeye kuapa kuwa hawatawaita tena wapinzani ikulu

Kikubwa alichoifanyia CCM ni kutabiri kuwa CDM ingekufa mwaka 2013, ambapo nalo alichemsha...
 
BUNDA! wasira kafanya nini hapa zaidi ya kuroga wapinzani wake kisiasa. maji tu yamemushida zile bn 7 za 2006 akiwa waziri wa maji kampa mwanae kambarage kaanzishia kampuni ya ujenzi.
 
siku 3 ulizokaa hapo bunda zatosha kusema chochote? isitoshe ulikuwa single point. au ndo akili za kibavicha ukifika kijiji kimoja then umemaliza jimbo zima. eti <5% ndo wanapata maji! day dreamer. hujui chochote we kimsukule cha kibavicha

Nilidhani huyu jamaa anatetewa na watu wenye akili za kujenga kumbe wale wale...
Ignored
 
Alijenga hoja madhubuti kwa Baba wa Taifa na kukubali kuanzisha wilaya ya Bunda yenye majimbo mawili.

Miradi ya maendeleo jimbo la Bunda,Maji,Afya,Kilimo na Barabara.
Katila wizara zote alizoongoza amekuwa mwadilifu,mzalendo na mtekelezaji.

wewe jamaa naomba ututake radhi watu wa bunda kwan uyo wassra wako hajawai kufanya ayo yote unayo yasema kama unamgia debempgie kvngne kwanza anatuaibsha watu wa bunda na mengne meng mabaya namfchia tu
 
Hayo mabaya ya Wassira yaseme tuyachambue kama karanga ili tujue mbivu na mbichi.
Lakini all in all Wassira ni Clean Candidate ndani ya CCM kwenye ubunge na hata Urais 2015.
 
BUNDA! wasira kafanya nini hapa zaidi ya kuroga wapinzani wake kisiasa. maji tu yamemushida zile bn 7 za 2006 akiwa waziri wa maji kampa mwanae kambarage kaanzishia kampuni ya ujenzi.

Hiyo kampuni inaitwaje na huko Blera imeandikishwa kwa mtaji wa shiling ngapi?

Nawashauri vijana wenzangu kama mtu ni msafi acheni awe msafi hata ukimvisha gunia ataonekana amevaa suti.
 
alijenga hoja madhubuti kwa baba wa taifa na kukubali kuanzisha wilaya ya bunda yenye majimbo mawili.

Miradi ya maendeleo jimbo la bunda,maji,afya,kilimo na barabara.
Katila wizara zote alizoongoza amekuwa mwadilifu,mzalendo na mtekelezaji.

wilaya ya bunda inaongoza kwa umasikini tanzania, wasira alipewa adhabu na mahakama asigombee ubunge miaka mitano kwa kuwa alikuwa corrupt,hospitali ya ddh bunda na manyamanyama ni janga,bora zigeuzwe mochwari,zao la pamba limekufa japo alikuwa na dhamana kama waziri wa kilimo kuliboresha,amechoka,yeye ni simba mzee,hafundishwi mbinu mpya
 
Hoja huna na maelezo yako yanapwaya, Mbona kijijini kwetu Guta wanalima Pamba, umefika Mariwanda,Nyangere na Salama?
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza, Wassira amekuwa mstari wa mbele kama mtetezi wa wakulima wa Bunda na Tanzania nzima.
Kama utafanyia kazi habari za Tanzania Daima lazima upotee njia.

Nenda kalete taarifa sahihi baada ya viroba kuisha kichwani.
 
Masihara kando stephen masatu wasira,ni moja ya watu wenye weledi mkubwa sana katika mambo mengi ya taifa hili,sii mtu wa kubeza kwa hoja nyepesi,anayo mengi ya kumfaa mtu aliye na utayari wa kujifunza dhana nzima ya uongozi,ni mpana katika maswala ya kiuchumi,kisheria,sayansi ya siasa,na mengi kwa idadi.ni moja ya wana wema wa taifa hili.
 
hoja huna na maelezo yako yanapwaya, mbona kijijini kwetu guta wanalima pamba, umefika mariwanda,nyangere na salama?
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza, wassira amekuwa mstari wa mbele kama mtetezi wa wakulima wa bunda na tanzania nzima.
Kama utafanyia kazi habari za tanzania daima lazima upotee njia.

Nenda kalete taarifa sahihi baada ya viroba kuisha kichwani.
nimepita huko si muda mwingi uliopita,nilichoona ni umasikini uliokithiri,mtu aliyefika bunda mwaka 1990 hataona tofautikubwa katika maisha ya watu,wengi ni maskini wa kutupwa ndio maana hata wasira kaamua kujenga dar tu,zaidi ya nyumba yake ya virian na manyamanyama, nyingine zote ziko dar likiwemo duka lake la kuuza samaki lenye ghorofa moja,kaiacha bunda maskini hata mwibara ikiwa wilaya itaipita bunda
 
Ninachoona hapa ni ushabiki na hoja mfu, tangaza nia ya kugombea ili ushindane na Wassira uone utakavyoabika.

Wassira ni Moto wa kuotea mbali, mwelevu,mweledi,na bingwa wa siasa za majukwaani, akiweka jina 2015 kwenye kapu kuu lazima watafutane.
 
Back
Top Bottom