Stephen Wassira CV

Stephen Wassira CV

Mkurabitambo

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2010
Posts
230
Reaction score
57
Stephen Masato Wasira (born 1945) is a Tanzanian politician.Wasira served as Deputy Minister of Agriculture in the first phase Government under President JULIUS NYERERE and also served as the Deputy Minister for Local Government and later as the Minister of Agriculture and Livestock Development under second phase President ALI HASSAN MWINYIHe was appointed as Minister of Water on January 4, 2006, when JAKAYA KIKWETE, who had been elected President, named his new cabinet.

He was then moved to the position of Minister for Agriculture, Food Security and Cooperatives on October 15, 2006,and on February 12, 2008 he was named Minister in the Prime Minister's Office for Regional Administration and Local Government.

On November 24, 2010, Mr. Wasira was names Minister of State President's Office in charge of Social relations and Coordination in the newly formed cabinet after October 2010 elections.

EDUACATION( Nina mashaka nayo)BA in Economics, American University in Washington, DC, USA.BA in Political Science, American University in Washington, DC, USA.MA in Economics, American University in Washington, DC, USA.Masters in Public Administration, American University in Washington, DC, USA
 
mbako,

Mbona hamna corellation ya alivyosomea na wadhifa?
No wonder wabongo hatuendelei.
 
Ama kweli kusoma si kuelimika. Mbona said arfi ambaye hata sekondary hakufika anamzidi huyu mzee points!!!
 
Salaam,

Ni ukweli usio pingika kuwa Watanzania wamesoma visomo mbalimbali na kwa viwango vya juu sana.

LEO nataka tuwaangalie watanzania waliotia nia ya Urais......kwani walio WENGI HAWAJA IJUE ELIMU YA MH WASIRA.

MH Wasira katika ubora wa Elimu.

1. Shahada ya kwanza ya Uchumi na Mahusiano ya kimataifa

2. Shahada ya uzamili ya Uchumi

3. Shahada ya uzamili ya Utawala.
(SHAHADA ZOTE KASOMEA AMERIKAN UNIVERSITY)

Kwa elimu ya ubora huo Tanzania inamuhitaji mtu mwenye elimu ya kariba hii.
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1422420673.763735.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1422420673.763735.jpg
    8.5 KB · Views: 2,770
Matatizo yanayotukabili Watanzania hayatokani na Elimu za Viongozi wetu..

Hatuhitaji viongozi mwenye Elimu ya Juu .. Tunahitaji viongozi wenye uwezo wa kudhubutu kutenda.
.
 
Mkuu badala ya kutuwekea cv yake wewe unakuja kumpromote
 
Kama suala ni elimu basi hata kwenye mia mbili bora hatoboi!!!!!
 
Salaam,
Ni ukweli usio pingika kuwa Watanzania wamesoma visomo mbalimbali na kwa viwango vya juu sana.

LEO nataka tuwaangalie watanzania waliotia nia ya Urais......kwani walio WENGI HAWAJA IJUE ELIMU YA MH WASIRA.

MH Wasira katika ubora wa Elimu.

1.Shahada ya kwanza ya Uchumi na Mahusiano ya kimataifa

2.Shahada ya uzamili ya Uchumi

3.Shahada ya uzamili ya Utawala.
(SHAHADA ZOTE KASOMEA AMERIKAN UNIVERSITY)

Kwa elimu ya ubora huo Tanzania inamuhitaji mtu mwenye elimu ya kariba hii.View attachment 222220

Kapuya ni Prof kabisa lkn aliishia kubaka yatima
 
Elimu yake haihusiani na uongozi kaka, we unadhani Plato na Aristotle walisoma?
Acha kufikiria kama ubweche wewe!
 
Kwa mtazamo huo basi Prof Lipumba ni bora mara mia kuliko hicho kimbe!
 
Salaam,

Ni ukweli usio pingika kuwa Watanzania wamesoma visomo mbalimbali na kwa viwango vya juu sana.

LEO nataka tuwaangalie watanzania waliotia nia ya Urais......kwani walio WENGI HAWAJA IJUE ELIMU YA MH WASIRA.

MH Wasira katika ubora wa Elimu.

1.Shahada ya kwanza ya Uchumi na Mahusiano ya kimataifa

2.Shahada ya uzamili ya Uchumi

3.Shahada ya uzamili ya Utawala.
(SHAHADA ZOTE KASOMEA AMERIKAN UNIVERSITY)

Kwa elimu ya ubora huo Tanzania inamuhitaji mtu mwenye elimu ya kariba hii.

Huyu Mzee ukimsikiliza kwa makini utajua ni Jembe sana
 
Mkurabitambo,
Kuwa na elimu kubwa sio kigezo cha utendaji bora,Andrew Chenge ana elimu kubwa tu lakini ndio huyu alikuwa mwanasheria mkuu wa serikali na ni kiongozi aliyeiingiza serikali katika mikataba tata huku yeye akifaidika na 10%.
 
Back
Top Bottom