PreGE2025 Stephen Wasira: CHADEMA hawana hoja ya msingi kuzuia uchaguzi, mabadiliko wanayoyazungumza yameshafika tayari

PreGE2025 Stephen Wasira: CHADEMA hawana hoja ya msingi kuzuia uchaguzi, mabadiliko wanayoyazungumza yameshafika tayari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo hakina hoja ya msingi ya kuzuia Uchaguzi Mkuu mwaka huu kwani kama ni mabadiliko wanayoyazungumza yameshafika tayari.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Machi 27, 2025 katika Halmashauri ya Wilaya ya Kahama,Wasira aliyekuwa akihutubia wananchi hao amesema sheria zilizofanyiwa mabadiliko ni Sheria ya Uchaguzi wa Rais,Wabunge na madiwani.

assira
 
Mwanzo niliona kama Lissu anamuonea huyu mzee kumpuuza. Kama ndio hivi basi Lissu arudie tena kumpuuza
 
Back
Top Bottom