Stephen Shedrack Kangero ni nani?

pantheraleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
693
Reaction score
889
Anayemjua huyu mzee atujuze. Ana company nyingi,majumba ya kifahari na vilevile ana hisa kila sehemu. Kila mwaka anafanya sherehe kubwa sana,ambazo zinahudhuriwa na viongozi mbalimbali.

Police na trafic siku wanapataga raha sana kipindi cha sherehe zake. Hata mzee wa vijisenti (Chenge) Cleopar David Msuya na wengine wengi huwa hawakosi sherehe zake.

Na alishajitengaga na kanisa la kilutheri na kusababisha waumini kujitenga na kufungua kanisa lake kutokana na kuishi na mke zaidi ya mmoja.

Hata kipindi cha utawala wa Al khaji Mwinyi alishawahi kulala kwake.

Pia ndiye anayepanga mbunge gani agombee wilaya ya Mwanga kwa upande wa CCM.

Anayemjua zaidi atiririke.
 
Wanaomjua Mr. Stephen Shedrack Kangero pleaseee....!
 
Kutokana na kanuni za JF sijui ka hii thread inamaisha marefu hapa coz ni wazi imelenga kumchafua mtu tu, kwani kwa maelezo uloyatoa tu, inaonesha kuwa unamjua sana huyo mtu ila umeamua tu kumfikisha kwa jamii ili nao wajue kuna mtu wa namna hiyo kwa jinsi hii.
 
Mpaka hapo we' mleta mada unamjua huyu bwana sema tu unatubania,

acha izo mkuu tupe dondoo kuhusu huyu bwana:help:
 
unajua yote hayo uliyo andika sasa unataka nn zaidi

Ningependa kujua kwamba anapiga deal gani. Tokea nikiwa mdogo maisha yake ni hayo hayo tu ya juu. Jamaa ana maisha mazuri sana kuliko hawa viongozi wetu mafisadi. Kila nyumba yake unayoenda ina wapishi professional wasiopungua watano na wafanyakazi wengine wa ndani. Wapishi wake maisha yao yenyewe ni mazuri tu. Vilevile huwa anaweza nyumba nyingine huwa hatembelei hata mwaka mzima lakini anawalipa wafanyakazi wake freshi.
 
Sijaelewa hii ni promo au kashfa but anyway 2015 ndio mwisho wao lazima tuwafilisi.
 

Wewe mpsls unakua wapishi wake!!!?..what else do you want to know?
 
kashfa et amemjua tangu mdogo sasa alikuwa anasubiri intenet ije tz na jf ianzishwe uje uulize.idiot
 
Sijaelewa hii ni promo au kashfa but anyway 2015 ndio mwisho wao lazima tuwafilisi.

Hamna. Huyu jamaa hata akiwepo nje ya nchi lazima atakuja apige kura kipindi cha uchaguzi halafu arudi tena. Anaithamini kura yake sana,lakini kwa ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…