Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,581
Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Stephen Mashishanga amesema mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro aliyejihuzulu, Saidi Meck Sadiki amesoma upepo na kuona hawezi kuendana na kasi iliyopo.
"Hoja ya umri mkubwa haina mashiko sana kwani wapo viongozi wenye umri mkubwa kuliko wake ambao ama waliendelea au wanaendelea kulitumikia taifa," amesema.
Mashishanga in mmoja wa wanahisa wa Benki ya CRDB anayehudhuria mkutano mkuu wa 22 unaoendelea Jiji Arusha.
Chanzo: Mwananchi