Alegria do povo
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 293
- 441
Ewe mpenda michezo... Kama umezaliwa kipindi hiki basi mshukuru sana Mungu, maana hakuna wakati mzuri kama kushuhudia viumbe hawa wawili wakicheza katika kipindi kimoja cha kalenda... Itachukua Karne hata tatu watu kushuhudia hili jambo tena.... Haijawahi kutokea.. Pele alikuwapo peke yake, Jordan alikuwapo peke yake.. Hawa wapo wote. Jihesabu mwenye bahati. AMINA..................................................