Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,436
- 5,234
Katika harakati zangu leo nilifika hadi stendi ya Tegeta Nyuki ni moja ya stendi kubwa sana lakini ni stendi ambayo imetelekezwa kwa muda sana bila kufanyiwa ujenzi hata kidogo.
Lakini leo nimekutana na ukarabati unaendelea pale. Sasa nikajiuliza mbona sasa hivi siku zote walikuwa wapi? au hizo hela ndizo zimepatikana sasa hivi? wakati tulikuwa tunapata shida mvua ikenyesha stendi inajaa maji madibwi kama yote.
Ila nilichokiona inawezekana kuna mtiania hapa anajitafutia kura kwa wakati na watumiaji wa stendi hiyo.
Lakini je ujenzi wake utaendelea au ni kuziba mashimo tu uchaguzi ukiisha matatizo yataendelea?
Wananchi tusidanganyike na wanasiasa walamba miguu kipindi hichi