Stendi ya Mawasiliano vs Stendi ya Mbezi Luis

Stendi ya Mawasiliano vs Stendi ya Mbezi Luis

Kuna ripoti moja alitoaga cag akisema stand ya mbezi mahali ilipojengwa haikustaili kujengwa,eneo ni finyu sana na gaharama zake za ujenzi ni kubwa sana.....hapa ni siasa ndio iliyochangiwa na awamu iliyopita
Mnachanganya stend mpya ya magufuli,na stend ya daladala Mbezi luis
 
Back
Top Bottom