Stendi ya Hood Morogoro Hovyo

Stendi ya Hood Morogoro Hovyo

Tiles kali sana hizi..mbona vyoo viko fresh sana hivi
Mkuu una utani wa ngumi eeh?
Hawa ni lazima tuwalipue bana. Haiwezekani pesa yao iwe maumivu kwa abiria.
 
Tunatofautiana maonjo japo wote tunasafiri kwa means moja.
Mwingine kwake anaona toilet la jinsi hyo kwake ni Ulaya.,ha ha haa!
Lakini watu wengi tu wanazama huko ndani na kutumia hiyo mikopo, si unajua matumbo yakikorofisha!
Unakaa na mtu kwny siti anagonga mayai ya kuchemsha na chips za jana, matumbo yakimpinduka unadhani ataangalia aina ya choo!

mie hapo tu ndio hapo tu wasafiri wengine wanaponichosha, unaona mayai kwenye zile ndoo zao hujui ni ya lini but mtu anabugia tu, masambusa etc khaa
 
Back
Top Bottom