Stay away from Bitcoin crazy

huu ndio wakati wa kununua bitcoin kwa sisi tunaojua nini maana ya bitcoin
 
Yaan kuna vitu havihitaj ata elimu ya darasan kuvistukia. Ivi unaanzaje kufnya biashara na watu wa online hawana ofisi?? Je huwez kufkiria kama kuna cku wanazima system utawapata wapi??
Aisee ushamba ni mzigo ww unaishi dunia ya ngapi? Watu wananunua bidhaa Ebay,amazon na store kibao ile hali hawamjui seller wala ofisi yake na seller apo yupo china, Bangkok au New York na Mizigo inafika hahaha
 
Aisee ushamba ni mzigo ww unaishi dunia ya ngapi? Watu wananunua bidhaa Ebay,amazon na store kibao ile hali hawamjui seller wala ofisi yake na seller apo yupo china, Bangkok au New York na Mizigo inafika hahaha
Bora niwe tu mshamba kuliko kumpa mtu pesa ktk mazingira tata
.credibility
.assurence
.legal authoritative
Ndivyo vitu pekee ninavyovitazama
Acha tu niwe mshamba
 
Bora niwe tu mshamba kuliko kumpa mtu pesa ktk mazingira tata
.credibility
.assurence
.legal authoritative
Ndivyo vitu pekee ninavyovitazama
Acha tu niwe mshamba
Sawa ndio mana nakuita Mjima, Ata pesa unapeleka bank kweli wewe? na kuweka kwenye Mobile service kama float?
 
Hii story inatufaa sana hasa wanaotafuta pesa kwa BITCOINS na FOREX...
 
Sawa ndio mana nakuita Mjima, Ata pesa unapeleka bank kweli wewe? na kuweka kwenye Mobile service kama float?
Bank ni organization yenye vigezo vyote ila sitakaa niamin janja janja zenu
Ninachokiamini mm ni kuwa. U earn a lot of money kwa kufanya investment ila cyo hizo kind of gambles mnacheza na mnakuja kutapeliwa mnalia. Ukichunguza wanaotetea huu utapeli ndo mamluki waliotumwa kuja kufnya promo ya hizi vitu
 
Great
 
Bcoin ni biashara inayohitaji timing ya soko, kama unavipresha na haujui prediction za uchumi utaugua gafla maana anguko moja la coin likikuta utazimia.

huwa nachungulia saana trend yake. Unaweza kukuta mwezi huu ni Tsh 32m mwezi ujao ikawa tsh 27m. Sasa fikiria kama uliingia na vipesa vya kwetu ambavyo thamani ya coin 1 kwasasa ni 32 halafu [labda] january ishuke iwe 27 lakini pia inaweza kupanda.

Dunia sinia pakua unachoweza.
 
Hakuna utapeli ikitokea umeliwa ndio uje kulia lia mfano betting ni Verified kabisa na Serikali inapitisha bakuli lake kodi, Wewe upo a b c za biashara kweli leo umenunua Gunia moja la mahindi 10000Tzs ukaliweka store ukitegemea mwezi ujao Litapanda dhamani ndani ya mwezi ujao ukakuta Gunia 2000 Tzsh utasema umetapeliwa??? Acheni kujaza watu ujinga Biashara zenye risk zinalipa kikubwa uwe tayari kupoteza na Utafurahia pia uki win, Dunia
Ndio inaenda kuwa ya kitechnologia Watanzania kutojiandaa kupokea Technology hizi kuzitufanya Tuendelee kuishi kijima, Tutazubaa mpaka majirani wanatupiga bao
 
We don't stay

We read the bearish candlesticks

Then tunashuka nayo, we sell them !

Those who don't understand the rules of the game are the ones bluffing out here !

Hallah forexcrypto champs !
Market makers wanapiga propaganda ili wabaki wao tu sokoni,wauze wenyewe wapige pesa peke yao.wakati fursa za kupiga hela si kwa kununua tu
 
Mkuu naona kama upepo upo kwa Eth kuliko btc mana Btc inaruka balaaa
eth upandaji wake ni wa taratibu mno bitcoin ikipanda inapanda hasa kifupi wachina wanatusaidia sana juu ya bitcoin
 
Mkuu jamaa mpuuze hajui ata soko linaendaje, Ameokoteza uko article kaja kupaste apa anadhani kila mtu ni kilaza umu, Mimi pia nina hold bitcoin na nalijua soko, Jamaa hana hoja wala kujua kinachoendelea
Mkuu mimi nataka kujiunga na Bitcoin, je ofisi zao hapa Tanzania ziko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…