Status za WhatsApp zinatuonesha jinsi tulivyo na tunajichora tu kwa wengine

Hakuna watu ninaowadharau kama wanaoweka mafumbo status au wale wenye stress wanapost.

Kupitia hayo huwa najua pa kuchora mstari kwa watu wa aina hiyo.
Hahaaaa, nahisi watu tuna changamoto nyingi na uwezo wa kukabiliana nayo nafikiri pia ni changamoto nyingine, mpaka mtu anaweza kitu/status too personal kwa public!

Ila ndiyo maisha yenyewe kila anaamua anavyotaka tu!
 
Mambo yaliyonishinda kweny kutumia simu;
1.kuweka picha yangu kama wallpaper ya simu
2.kuweka status za kupost Birthday za watu
3.kupiga picha kweny sherehe au sehemu za starehe
4.kupiga picha za vikundi kama wachezaji wa mpira haswa kweny event za kiofisi siwezi kabisa.

Kweny pc yangu;
1.kuweka picha kama wallpaper ya pc
Unakarobia kustaafu eti
 
WhatsApp Status ilifanya nimuache demu mmoja wa uswahilini, nime chart nae kwa mesej za kawaida kaniambia ni mzima baada ya dakika mbili nakuta kaweka Status eti anaumwa mi nika View alafu nikakausha baada ya kama ya nusu saa ananiambia eti mi simjali kisa nimeona kaweka Status anaumwa alafu nimemkaushia

Nikamwambie usiniletee drama zako nikaushie fata mambo yako
 
Lakini hili jambo la status za WhatsApp huwa wakati mwingine linanishangaza sana. Hasa wakina Dada huwa wanaji
rekodi video anaimba wimbo wa Kanisa, Zuchu au Mboso kwa kufuatisha huku ana tabasamu hii inakuwaga Ina maana gani kwao ?
 
WhatsApp Status ilifanya nimuache demu mmoja wa uswahilini, nime chart nae kwa mesej za kawaida kaniambia ni mzima baada ya dakika mbili nakuta kaweka Status eti anaumwa mi nika View alafu nikakausha baada ya kama ya nusu saa ananiambia eti mi simjali kisa nimeona kaweka Status anaumwa alafu nimemkaushia

Nikamwambie usiniletee drama zako nikaushie fata mambo yako
🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣🤣😂😂🤣🤣😂🤣
 
Binafsi sijawahi kuona Ina maana gani hasa kwa mtu ambae hufanyi business yoyote.

Unakutana na mambo ya ajabu mpaka unajiuliza ndo huyu aliyeweka?
Mambo ya watu yanakuuma nini,Uliwazaa,una undugu nao,unawapa pesa za kula,unasaidia watoto wake shule

Jikite na maisha yako acha umbea na utoto nani anakutuma kusoma maana yake wewe una kizabizabina

Shame upon yourself
 
Back
Top Bottom