mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 3,022
- 9,408
Sikupingi katika hili, na pia status zinasema mengi kuhusu hulka na tabia za mtu ziwe mbaya au nzuri .Ambazo sio rahisi kuzigundua kiuhalisia.Hakuna watu ninaowadharau kama wanaoweka mafumbo status au wale wenye stress wanapost.
Kupitia hayo huwa najua pa kuchora mstari na watu wa aina hiyo.