Dah hata mimi badokuna ambao wanasema selection zimetoka na wengine bado,ila kwangu mimi bado au kuna mahali nakosea au ndo nimetoswa hivo jamani???... nawasilisha!!
Mkuu kuwa mpole ila uliomba vyuo gani na ufaulu wako ukoje tuanze na hili kwanzakuna ambao wanasema selection zimetoka na wengine bado,ila kwangu mimi bado au kuna mahali nakosea au ndo nimetoswa hivo jamani???... nawasilisha!!
Hata kwa Afya tayari pia zimeanza kutokaNdio selection zilisha toka mm mwenyewe wamenitumia msg kuwa nimechaguliwa, japo kuwa kwa upande wa vyuo vya afya sina taarifa rasmi
Okkkk sawa,endelea kusubiri.huwazinatolewa Taratibu na ikiwa umekosa utajulishwa.Kila la kheri.....yani kulog in haina shida ila unakuta kwamba congratulations,you have reached end of application process........hivo yani...sijui ndo bye bye...kwani ukikosa si pia wanakupa taarifa?