Status za app ya Ajira Portal zina ukweli kiasi gani?

Mwamba95

Senior Member
Feb 4, 2023
155
381
Kama kichwa cha habari apo juu kinavyo sema kuna status za aina mbalimbali kwenye app ya ajira portal kama 👇👇👇

●RECIEVED
●SHORTLISTED
●NOT SHORTLISTED
●SELECTED FOR NULL
●NOT SELECTED FOR NULL
●SELECTED FOR PRACTICAL INTERVIEW(Huyu alikua hana practical kwneye interview yake eg. Accountant,auditor etc)
●NOT SELECTED FOR PRACTICAL(Huyu
pia hakua na practical interview lakin status yake ina soma ivo)
Etc
👉🏽 mtu mwenye uelewa wa hizo status anaweza kushuka na threads kwa manufaa ya wengi
 
Kama kichwa cha habari apo juu kinavyo sema kuna status za aina mbalimbali kwenye app ya ajira portal kama

●RECIEVED
●SHORTLISTED
●NOT SHORTLISTED
●SELECTED FOR NULL
●NOT SELECTED FOR NULL
●SELECTED FOR PRACTICAL INTERVIEW(Huyu alikua hana practical kwneye interview yake eg. Accountant,auditor etc)
●NOT SELECTED FOR PRACTICAL(Huyu
pia hakua na practical interview lakin status yake ina soma ivo)
Etc
mtu mwenye uelewa wa hizo status anaweza kushuka na threads kwa manufaa ya wengi
Leta picha tuone
 
Kiukweli mi sijui maana yake ila kwa situation yako ni dhahiri kabisa system ina misbehave

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Mimi hadi jana usiku ilikuwa inasoma selected for null, ila leo asubuhi inasoma selected for practical interview
Polish_20230207_085601992.jpg
 
Ishu za status zimetulia sasa watu wanasikilizia placament(database) na matangazo ya ajira mpya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom