Habari Felix,
Mkuu hiyo bei siyo kubwa, ukiangalia vitu vya kuuza tu viliyokuwa ndani, yaani Stationeries, computer accessories n.k bei yake inazidi Milioni 6, Infrastructure yaani Meza, viti, Display n.k ni kama Milion 7 ukijumlisha na kodi inafika bei hiyo.
Kuna watu kama wawili walifika pale ofisini baada kuagalia vile vitu, hawakushangaa baada ya kuwaambia ile bei. vilevile nauza kwa bei ambayo ntaweza kununua vitu vingine kama hivyo kwa kuwa nina mpango wa kufungua ofisi nyingine huku nilipo hamia.
kwa sasa vilivyobakia ni baadhi Infrastructure kama display, meza, na viti 3. karibu kama unaviihitaji