Stationery inauzwa (bidhaa)

Stationery inauzwa (bidhaa)

MJIMPYA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
506
Reaction score
273
Niko Dar nimepata mchongo mpya nashindwa kuendeleza hii biashara.

Waweza kununua vitu vyote vya stationery kwa bei nafuu kabisa au ukanunua vile ambavyo unapenda tu.

Ipo pia Photocopy (canon - mpya imetoa copy chache sana) naiuza 1.6mil. Zipo pia printers, scanner, na vikorokoro vingine.

Mwenye kuitaji ani PM tupeane contacts.

Asanteni.
 
Hakuna PM kirahisi namna hiyo.
Canon ina matolea kibao,kuna nyingie wino ukiisha lazima uwe na zaidi ya laki moja.

Weka Picha hapa na bei ya kila kimoja.
Pia Sema Stationary ipo maeneo gani na ukiuza pamoja,yaani ukapewa chako ukasepa hapo inakuwaje.
Na ulikuwa na wafanyakazi wangapi na ulikuwa unawalipa mshahara wa kiasi gani.Ili ikiwezekana mtu anunue hadi wafanyakazi
 
Yajibu ya mkuu Zanzibar spices utatujibu wengi.
Funguka vizuli usiwe mvivu vineno viwilitu havitoshi kushawishi wanunuzi
 
A true thinker
 
Yajibu ya mkuu Zanzibar spices utatujibu wengi.
Funguka vizuli usiwe mvivu vineno viwilitu havitoshi kushawishi wanunuzi
Kuna watu waleta matangazo utafikiri wanauza mali za wizi au magendo
 
Back
Top Bottom