Statement za Polisi

Polisi ndo zao, yaani kwa sasa sina imani nao kabisa, wenyewe wanapigika na maisha vibaya sana, wanaishi kwenye vijumba vya bati, ushahidi ni nyumba za askari pale Osterbay, wakipewa hongo kidogo tu basi wanajisahau na kuishia kuua watu wasio na hatia, 2015 ni mwisho wa ubabe wao.
 
polisi bongo? tena wale traffic unafanya kuwapungia tu mkono unapita kama barabara yako
 
Back
Top Bottom