Habari wadau
Hii nimeona niilete humu au labda mimi ndio sijaelewa vizuri kwa wale ambao wamemaliza kidato cha nne chini ya 2008 kuna utaratibu necta au baraza la mitihani wameuweka kama ulipoteza cheti chako au kiliharibika kwa majanga ya moto unafata taratibu za kuomba mtandaoni kwa gharana ya Tsh 100,000/= unasubiria miezi 3 utatumiwa statement of results ya kudumu
Je ila kwa wale waliomaliza kuanzia 2008 kuendelea wao watatumiwa cheti mbadala yaani duplicate certificate kwa gharama iyo iyo ya Tsh 100,000/=
Je swali linakuja nimefuatilia nimeona nafasi za kazi nyingi hasa serikalini hawapokei statement of results kwa hiyo waliopoteza vyeti wakafata utaratibu baraza la mtihani wakatumiwa hiyo statement of results sababu inafahamika vyeti chini ya 2008 havikuwa na picha kwa hiyo necta hawatoi cheti mara 2 kwa vyeti ambavyo havikua na picha
Je hawana sifa za kuomba Hizo nafasi au izo statement of results wanazoweka kwenye matangazo ya kazi ni zipi nahitaji kufahamu kiundani zaidi wadau kama inavoonekana hapo chini wameainisha kabisa statement of results hazitapokelewa kwenye mzunguko wa blue hapo kwenye picha nimezungushia.
Ahsante