Hivi NAPE anafahamu kuwa 20 yrs ago maisha ya Mtanzania (in all wise) yalikuwa bora zaidi kuliko leo hii? Badala ya kuwa na mawazo ya kuendeleza CHama na Nchi kwa ujumla bado anakuwa na mawazo ya kutetea mapungufu yanaonekana wazi.
Kwa kuanzia ningependa jina NEC LA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI libadilishwe kuleta utofauti na ile NEC YA CCM. NEC iwe TEC (Tanzania Electoral Commission). Kuhusu maadhimio ya NEC wala sina shaka, CCM ni mavuvuzela, sina imani nao hata kidogo, kifupi wamedandia hoja kwa kuogopa upepo wa kisiasa usiwadhuru. Then inakuwaje wao waruhusu? Kwani nchi chini ya mfumo wa chama kimoja?
hakika hili la kuanzishwa kanda maalum vyuo vikuu ccm ni lazima litaighalimu, sasa wasilaumu, chadema hiyo itakuwa ni fursa yao, subiri...
Namuliza Nape, kama CCM watashindwa na mgombea binafsi mtakuwa tayari kufanya nae kazi na kumpa ushirikiano.
Acha utani wewe. Unataka kuwapa wale jamaa hoja. TEC = Tanzania Episcopal Council = Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania.
I can't believe is that u Ritz?
TEC tayari ni Tanzania Episcopal Conference, usituingilie huku!
Mkuu ritz unakumbuka wakati wanahitimisha kipindi kule dar nape kama kawaida yao ccm alijinasibu kuwa atajibu hoja zote hapa jf na fb,kwa kuendeleza kasumba yao kuwa ni upepo tu watu hapa wanaendelea kutoa maswali hamna wa kujibu.na hamjashituka kama mmeachwa stendi
I can't believe is that u Ritz?
I feel sorry for you!
So in 20yrs ago, Tanzanians had better access to water, health, education, information (like you do now), demokracy, freedome of speech, movement, association, transport services etc than today!!!!
Ama kweli sijui tumelishwa nini vile?
Mkuu hunijui vizuri mie sio mtu wa kushikiwa akili nasimamia mawazo yangu.
Tatizo la Nape maneno mengi sana hata mie nimemsikia akasema atakuja humu JF kujibu hoja zote na akasema anatumia ID yake wala ajifichi sasa mpaka mida hii hatumuoni kama sio uhuni ni nini?