Chrisludos
Senior Member
- Oct 12, 2012
- 135
- 41
Mimi ni mtumiaji wa king'amuzi cha Startimes,japo sijalipia package yoyote kwa muda wa miezi 3 kwani ni muangaliaji wa local channels zaidi na labda uchumi unachangia.
TATIZO
Kwa muda wa wiki moja sasa napata TBC1 pekee,tatizo ni nini?Naomba mwenye kufahamu anijuze,kwani hata katika channel list zimebaki channel chache japo sina access nazo na local ndo hazipo kabisa.