mandevuclassic
Member
- Nov 23, 2013
- 79
- 118
Kwa mujibu wa tcra ving'amuzi vinavyotoa huduma ya channel za ndani Bure ni STARTIMES, Continental...ila cha ajabu STARTIMES chaneli za ndani sio bure kwa wale wenye ving'amuzi vya dishi... ukitaka channel za bure wanasema toa 44000 ili tulinganishe kwenye chaneli za bure..
Hapa ndo sielewi ndo maana nauliza STARTIMES wapo juu ya sheria..?
Hapa ndo sielewi ndo maana nauliza STARTIMES wapo juu ya sheria..?