hapa tido inaonesha alikula mkwanja piaJuzi mheshimiwa rais alisema mkataba kati ya TBC na Startimes uchunguzwe
Nadhani huu ndo wakati muafaka kwa hawa wachina (wanyonyaji) kuacha kutumia mitambo ya tbc ya kodi zetu huku wakituuzia local channel
Na huenda wakashughulikiwa
Maana wanatulipisha mpaka tbc wasivyokua na huruma
Siku zao zinakaribia
kukumbusha si jambo baya hata ww unaweza kumkumbusha mtu kupitia jambo fulani.. lkn hata hivyo la startimes lipo kwenye process linashughulikiwa kwani kuna kikwazo cha kuhoji mengine..?Mnapenda kulalamikaaaa eti gesi sijui nini..hapa inaongelewa startimes wameambiwa walipe...miaka saba ya kutolipwa kwishney.
Mnapenda kulalamikaaaa eti gesi sijui nini..hapa inaongelewa startimes wameambiwa walipe...miaka saba ya kutolipwa kwishney.
Nilidhani huwa unajitokeza tu kumjibia Makonda kama tulivyokuzoea kumbe mpaka kwa Magufuli pia huwa unamtetea?
Ha ha haaaaaaaa
Napenda kuangalia lori lake likipita mbio. Amenivutia kwenye mengi hata kupenda kusikiliza taarifa za habari za nchini hapa, zamani ilikuwa labda jambo linisukume.
Magufuli 2020