Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,276
Hata uende wapi mambo yale yale..!Mkuu hii ni too much startimes tutawahama muda umewadia
Hata uende wapi mambo yale yale..!Mkuu hii ni too much startimes tutawahama muda umewadia
Vp Azam?Hata uende wapi mambo yale yale..!
Mambo kulipa tu by the way ni vema ukawa na AzamVp Azam?
Embu Tupe ujanja wa ilo dish tununue mwanangu na Jina lake linaitwajeNunua dish la Futi 6 uachane na huo ubabaishaji wa kulipia monthly mkuu
hama nunua dishi la free satellite channel hutalipia chochote na utaone chanel Zaidi ya 300.bure maishaJamani mambo ya startimes yamezidi kua hovyo kwelikweli.
Jana nimeishiwa kifurushi katika king'amuzi changu cha startimes cha ajabu channels zote mapaka TBC hazishiki, channel inayoshika ni Startimes guide peke yake.
Hivi ni sahihi kulipia mpaka TBC? hapa startimes wanachemka sasa yaani ukiishiwa kifurushi TV inabidi uizime?
TCRA sijui kama wametusahau au kuna nini
Nilipoona mambo yamekua hivyo nikawapigia customer care, wananiambia nisipolipia basi hataTBC sitaangalia aisee huu ni utaratibu mpya au ni kwangu tu
Linauzwa bei gan mkuu na nalipataje?hama nunua dishi la free satellite channel hutalipia chochote na utaone chanel Zaidi ya 300.bure maisha
Nahamia kwenye huduma za madishi yasiyolipiea ni simple mkuu
Naona unawashwaUngelijua hilo mapema basi usingekuja ' kutupovukia ' humu na badala yake ' ungesepa ' tu kimya kimya na kukubali yaishe.
Naona ' unajinyegesha ' mwenyewe Kwangu.
guide ni matangazo tu. mimi wamenichosha. nikirudi naweka flash nasikiliza music. Maisha yanaenda. na Hali ilivyokuwa ngumu hivi uanze kulipiaAngalia hiyo hiyo startimes guide ipo vizuri sana
Sio star times tu ving'amuz vyote kaka,halafu vip hiki king'amz kwenyw mvua kinaonyesha au kinakataJamani mambo ya startimes yamezidi kua hovyo kwelikweli.
Jana nimeishiwa kifurushi katika king'amuzi changu cha startimes cha ajabu channels zote mapaka TBC hazishiki, channel inayoshika ni Startimes guide peke yake.
Hivi ni sahihi kulipia mpaka TBC? hapa startimes wanachemka sasa yaani ukiishiwa kifurushi TV inabidi uizime?
TCRA sijui kama wametusahau au kuna nini
Nilipoona mambo yamekua hivyo nikawapigia customer care, wananiambia nisipolipia basi hataTBC sitaangalia aisee huu ni utaratibu mpya au ni kwangu tu
Hata mimi silipi ng'oooguide ni matangazo tu. mimi wamenichosha. nikirudi naweka flash nasikiliza music. Maisha yanaenda. na Hali ilivyokuwa ngumu hivi uanze kulipia
Kwenye mvua kinazingua kweli kweli kinakata mara kwa maraSio star times tu ving'amuz vyote kaka,halafu vip hiki king'amz kwenyw mvua kinaonyesha au kinakata
bora uhame. mimi nishahama mda tu. najutia tu hela yangu niliyonunulia kingamuzi.Hata mimi silipi ng'ooo
Nahamia kwenye kusikiliza music nikiwa bored naangala movie tu.
Hiii inakaaje na unapata chanel ngapNunua dish la Futi 6 uachane na huo ubabaishaji wa kulipia monthly mkuu
siku hiziJamani mambo ya startimes yamezidi kua hovyo kwelikweli.