dendaboy
JF-Expert Member
- Sep 15, 2016
- 1,091
- 744
azam wanaacha ngapiMambo kulipa tu by the way ni vema ukawa na Azam
azam wanaacha ngapiMambo kulipa tu by the way ni vema ukawa na Azam
njoo pm mikupe mauujanjaJamani mambo ya startimes yamezidi kua hovyo kwelikweli.
Jana nimeishiwa kifurushi katika king'amuzi changu cha startimes cha ajabu channels zote mapaka TBC hazishiki, channel inayoshika ni Startimes guide peke yake.
Hivi ni sahihi kulipia mpaka TBC? hapa startimes wanachemka sasa yaani ukiishiwa kifurushi TV inabidi uizime?
TCRA sijui kama wametusahau au kuna nini
Nilipoona mambo yamekua hivyo nikawapigia customer care, wananiambia nisipolipia basi hataTBC sitaangalia aisee huu ni utaratibu mpya au ni kwangu tu
Zikoje hizo mkuu tueleweTatizo ubahili umekubali. Nunuaeni free to air unazipata zote na za ziada unapata
Ataita mafundi mpk lichakae...Na kama ana mke ajiandae kumtoa sadaka kwa hao mafundi.hama nunua dishi la free satellite channel hutalipia chochote na utaone chanel Zaidi ya 300.bure maisha
akishanunua ana download application za dish setting zipo nyingi play storeAtaita mafundi mpk lichakae...Na kama ana mke ajiandae kumtoa sadaka kwa hao mafundi.
TCRA na STAR TIMES wote ni matapeli, wanasema kitu hiki wanafanya kitu kile. Hii ndiyo awamu ya tanoJamani mambo ya startimes yamezidi kua hovyo kwelikweli.
Jana nimeishiwa kifurushi katika king'amuzi changu cha startimes cha ajabu channels zote mapaka TBC hazishiki, channel inayoshika ni Startimes guide peke yake.
Hivi ni sahihi kulipia mpaka TBC? hapa startimes wanachemka sasa yaani ukiishiwa kifurushi TV inabidi uizime?
TCRA sijui kama wametusahau au kuna nini
Nilipoona mambo yamekua hivyo nikawapigia customer care, wananiambia nisipolipia basi hataTBC sitaangalia aisee huu ni utaratibu mpya au ni kwangu tu
Acha ujuaji mkuu...Naona ' unajinyegesha ' mwenyewe Kwangu.
Mkuu hii ni too much startimes tutawahama muda umewadia
Acha ujuaji mkuu...
hama nunua dishi la free satellite channel hutalipia chochote na utaone chanel Zaidi ya 300.bure maisha
linunulie LG YA MPGE 4 ulirudishe kakandg mfano bado nina lile la mediacom ila liko huko juu miaka sasa halijatumika je inawezekana kulifufua likafanya tena kazi.
linunulie LG YA MPGE 4 ulirudishe kaka
sorry sister.asante ila mi dada.
wala halina tatizo ila kwa sasa star TV haionekani kwenye dish ila TV zingine zote unaona , ila TV 1 pia hawaonekani.Ataita mafundi mpk lichakae...Na kama ana mke ajiandae kumtoa sadaka kwa hao mafundi.
Hamia dstv, mwanzo mwisho utajua utamu wake wa DStvMwisho wa mwezi huu situmii tena Startimes nawahama rasmi