Startimes wamekata local channel?

Startimes wamekata local channel?

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,054
Reaction score
4,115
Leo ni siku ya nne channel za ndani sizioni zile za bure mara ya kwanza nilizani ni kwenye king'amuzi changu tu labda sasa nimefuatilia kwenye ving'amuzi vitatu naona hali hiyo hiyo kwa ambaye anafahamu atujuze kama hizi local channel zimeondolewa au la?
 
Umelipia halaf huzioni au unataka kuona bure?!
 
Leo ni siku ya nne channel za ndani sizioni zile za bure mara ya kwanza nilizani ni kwenye king'amuzi changu tu labda sasa nimefuatilia kwenye ving'amuzi vitatu naona hali hiyo hiyo kwa ambaye anafahamu atujuze kama hizi local channel zimeondolewa au la?
Mimi nilishahama huko, wanazengua sana hao.Tafuta kingamuzi chenye akili.
 
Back
Top Bottom